Jamani wanaume!

Jamani wanaume!

Mwambie achukue leave ya two weeks or more auguze machungu...then life goes on!!!
Ni kawaida sana, bt alitakiwa awe anasoma Alama za Nyakati. Awe anaweza kusoma viashiria.....It is very common nowadays lakini kinachonishangaza ni eti mtu aoe tena mchana kweupe asijue!!!

kama umeinisoma vzr alioa wakati wametofautiana kidogo........
 
alivyonielezea kuhusu hiyo ishu ni kwamba kweli walikubaliana na mchumba waende mbeya na akaomba na ruhusa job, mchumba akasubiri mwenzie mpaka akaomba ruhusa na kila kitu cku ya kuamkia safari mchumba akaumwa na ""malaria ya ghafla"" so hawakuweza kwenda but yeye alijickia vbya sana mchumbake kila cku kumdanganya mara hivi mara vile akabidi tu atuambie na sie kuwa alienda! mwanaume alipoona ruhusa ya mchumba imeisha nae alipona ""ghafla""

yaani kwa vile kadanganywa na yeye kaamua kudanganya!
huyo friend wako nadhani ana problem ya matatizo 🙂.
naamini huyo rafiki kapenda haswa. mwambie aendelee tu na
mpenzi/mchumba wake kwani yeye hatakuwa wa kwanza wala
sio wa mwisho kuishi na mwanamume aliyekwishaoa. mambo ya
moyo hayoo.
 
Walikuwa wapenzi kwa muda wa mwaka1! wakaja kutofautiana na kutengana kwa mwaka mzima,kila mtu alishika lake, baadae wakakutana waka solve prblm zao wakarudiana, mapenzi moto moto tukatangaziwa uchumba tukaenda kula vinono, wakawa wanaishi pa1 kama wachumba wakiweka sawa mipangilio ya ndoa, kila mwanamke atakapomuuliza mchumbake kuhusu ndoa ataambiwa mwezi wa 6, mwezi wa9 mpaka leo hii

Kumbe kile kipindi walichokorofishana mwanaume alioa na ana ka bay gal kwao Mbeya! ...

Nimsaidieje?

...ndoa za 'peke yako-peke yako' zimepungua sana miaka hii, mshauri aendelee tu kujipanga na harusi, bwana si amejitolea kulala zamu Dar na Mbeya au sio?

Hapo alipo anamsaidia huyo bibie wa Mbeya, wakishahalalisha na bibie wa Mbeya naye itambidi afahamishwe ili naye aridhie kusaidiwa, hapajaharibika neno hapo...
 
ni wakristo!anahofia ile engagement party 2liyokula itakuwaje, ataeleza vipi home kwamba alikaa na lim2 kwa cku zote hizo bila kujua kama ameoa au laa! swali langu kwake jana lilikuwa""mbona ulisema uliendaga mbeya kwa wazazi wa mchumba kutambulishwa sasa ilikuwaje tena?...kumbe alitudanganya hakufikaga huko but alisema alikwenda.

Hili ndiyo tatizo la vijana wa siku hizi. Inaelekea huyu dada hakuwa mke mtarajiwa bali alikuwa mke kabisa na kwa wazazi alikwenda kuwatangazia kwamba na yeye tayari anakula tunda. Pamoja na kampeni zote za Fema, mkiambiwa subirini hamtaki.

Nyamayao, hili ni funzo kwa vijana hasa wasichana, msitoe tunda kwani si rahisi kujua mkweli na tapeli. Rafikiyo ametapeliwa, na ni busara kwake kuachana naye jamaa kabisa. Kama ni mkristo na anampenda Yesu basi ampende Yesu zaidi. Kumpenda anayeisaliti ndoa yake ni sawa na kuisaliti damu ya Yesu.

Mshauri tu arudi kwa Yesu, atubu dhambi, na kisha aombe Mungu atampa mume aliyebora na atasahau hayo. Bila shaka hilo limekuja kwa miujiza ya Yesu. Mungu ametaka kumuepusha kuolewa na laghai. Yeye alikuwa anampenda kwa dhati lakini jamaa anamlaghai. Huyu angeweza hata kumwambukiza virusi.

Kama alikuwa hawatumii kinga, ni bora akapime, na kama yupo safi, achukuwe tahadhari na mijidume laghai.
 
Hili ndiyo tatizo la vijana wa siku hizi. Inaelekea huyu dada hakuwa mke mtarajiwa bali alikuwa mke kabisa na kwa wazazi alikwenda kuwatangazia kwamba na yeye tayari anakula tunda. Pamoja na kampeni zote za Fema, mkiambiwa subirini hamtaki.

Nyamayao, hili ni funzo kwa vijana hasa wasichana, msitoe tunda kwani si rahisi kujua mkweli na tapeli. Rafikiyo ametapeliwa, na ni busara kwake kuachana naye jamaa kabisa.

...MaMkwe nadhani wafanya judgement on one sided story!

Kama ni mkristo na anampenda Yesu basi ampende Yesu zaidi. Kumpenda anayeisaliti ndoa yake ni sawa na kuisaliti damu ya Yesu.

Mshauri tu arudi kwa Yesu, atubu dhambi, na kisha aombe Mungu atampa mume aliyebora na atasahau hayo. Bila shaka hilo limekuja kwa miujiza ya Yesu. Mungu ametaka kumuepusha kuolewa na laghai. Yeye alikuwa anampenda kwa dhati lakini jamaa anamlaghai. Huyu angeweza hata kumwambukiza virusi.

Kama alikuwa hawatumii kinga, ni bora akapime, na kama yupo safi, achukuwe tahadhari na mijidume laghai.

...ataomba sana tu, waoaji siku hizi adimu! bora ang'ang'ane hapo hapo,
BTW 'jini likujualo, halikuli likakumaliza!'
 
...MaMkwe nadhani wafanya judgement on one sided story!

...ataomba sana tu, waoaji siku hizi adimu! bora ang'ang'ane hapo hapo,
BTW 'jini likujualo, halikuli likakumaliza!'

hivi wanaume wameisha kihivyo? du unakatisha tamaa sana.
 
Haina sababu ya kuendelea pamoja.Kwanza uchumba sio ndoa hivyo wala isimuumize kichwa.
Ajitoe tu akaanze maisha yake.Ingawa mwanzo ni mgumu lakini atajiweza tu
 
Walikuwa wapenzi kwa muda wa mwaka1! wakaja kutofautiana na kutengana kwa mwaka mzima,kila mtu alishika lake, baadae wakakutana waka solve prblm zao wakarudiana, mapenzi moto moto tukatangaziwa uchumba tukaenda kula vinono, wakawa wanaishi pa1 kama wachumba wakiweka sawa mipangilio ya ndoa, kila mwanamke atakapomuuliza mchumbake kuhusu ndoa ataambiwa mwezi wa 6, mwezi wa9 mpaka leo hii

Kumbe kile kipindi walichokorofishana mwanaume alioa na ana ka bay gal kwao Mbeya! Jana ma frnd anani-call usiku kuniomba tuonane ajue anafanyaje na maisha. Kwenda anasema alipotoka job jioni alikutana na frnd wa huyo mchumbake ambae yupo Mbeya kikazi but amekuja likizo, ktk maongezi akamwambia "Hata kama uliaachana na jamaa but nyie mlikuwa wapenzi kutengana ni kitu cha kawaida kwanini hukuja kwenye harusi ya jamaa?"

Anasema nilisikia kuzimia, akam-call mchumbake awahi home wayaongee mchumbake akakubali kwamba kweli ameoa na blaa blaa kibao, analiaaa weee jamani mie nitafanyaje, jamani kwanini niliwaita kwenye engagement yangu ningejua ningefanya kimya kimya ili hii aibu inikute kimya kimya!....anafikiria ataawambia nini wazazi, atarudije home.. ata... ataa.. ataa..... mesenja kaleta balaaaaa.

Nimsaidieje?
Duniani kuna vitu vinafanyika mpaka shetani anaogopa ni hatari kweli kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni Muislam muambie akubali tu awe mke wa pili. Kwa sisi Wanyamwezi si BIG DEAL sana kuwa mke mwenza na mke wa pili si anapendwa zaidi?
Vinginevyo mwambie "Kichwa juu mwana wa mama", yeye si wa kwanza na wala si wa mwisho. Wako wengi wameachika kwa njia tofautitofauti. Aibu ni huyo jamaa kwa kufanya UFISI wa aina hiyo na siyo yeye muathirika. Hivi kwa nini Mwanamke AKIDANGANYWA, basi anaona hiyo FEDHEHA ni yake? M-BADILIKE!!!!!!
labda alikuwa na mentality yakuwaonyeshea watu...ila uchumba unaweza vunjika muda wowote kwa kweli...ndio maan ahutakiwi kukurupuka kurudiana na mtu mkiwa mmeachana
 
nimuelekeze kwako! LOL, lakini wanaume jifunzeni kuwa wakweli jamani, mie naona waliporudiana kipindi kile angemwambia 2 ukweli kwamba kipindi tulipotofautiana nilifanya ustaarabu huu na ule ili mdada wa wa2 ajijue yupo vipi, sasa mpaka akakubali kufanya engagement kumbe anajua linalondelea haaa 2pelekeni taratibu jamani.
jamaa naye alizingua sana..haijakaa vizuri kabisa
 
Back
Top Bottom