Jamani wanaume!

Jamani wanaume!

'Dadas ambao hawajamegwa.. Usikubali kumegwa kabla ya kuolewa, hata kama anaetaka kumega ni muoaji..USIMPE'. hii kitu ni special kwa MuMe!
eeebo! hakuna mtu anaoa demu bila kuonja.....apime kama bwawa au kisima......

.....rakili hiri rijanaume rimeniuzi kweli kweli......na hana huruma na mwenzie yaani mpaka anakubali kufanyiwa party ya engegement kumbe keshaoa anaunyuti tu......

.....ushauri huyo dada aachana na kijamaa hicho kwanza inaonekana ni mpenda miteremko...
 
Walikuwa wapenzi kwa muda wa mwaka1! wakaja kutofautiana na kutengana kwa mwaka mzima,kila mtu alishika lake, baadae wakakutana waka solve prblm zao wakarudiana, mapenzi moto moto tukatangaziwa uchumba tukaenda kula vinono, wakawa wanaishi pa1 kama wachumba wakiweka sawa mipangilio ya ndoa, kila mwanamke atakapomuuliza mchumbake kuhusu ndoa ataambiwa mwezi wa 6, mwezi wa9 mpaka leo hii

Kumbe kile kipindi walichokorofishana mwanaume alioa na ana ka bay gal kwao Mbeya! Jana ma frnd anani-call usiku kuniomba tuonane ajue anafanyaje na maisha. Kwenda anasema alipotoka job jioni alikutana na frnd wa huyo mchumbake ambae yupo Mbeya kikazi but amekuja likizo, ktk maongezi akamwambia "Hata kama uliaachana na jamaa but nyie mlikuwa wapenzi kutengana ni kitu cha kawaida kwanini hukuja kwenye harusi ya jamaa?"

Anasema nilisikia kuzimia, akam-call mchumbake awahi home wayaongee mchumbake akakubali kwamba kweli ameoa na blaa blaa kibao, analiaaa weee jamani mie nitafanyaje, jamani kwanini niliwaita kwenye engagement yangu ningejua ningefanya kimya kimya ili hii aibu inikute kimya kimya!....anafikiria ataawambia nini wazazi, atarudije home.. ata... ataa.. ataa..... mesenja kaleta balaaaaa.

Nimsaidieje?

Duh! Kuna mianaume mingine mitapeli kweli kweli!!! 🙁 Kwanini umdanganye mtoto wa watu kiasi hicho na kumpotezea muda wake. Kungekuwa na sheria ya mtu kama huyu kupandishwa kizimbani kwa kusema uongo na kutaka kufunga harusi nyingine wakati ana mke mwingine tayari huko Mbeya.
 
Walikuwa wapenzi kwa muda wa mwaka1! wakaja kutofautiana na kutengana kwa mwaka mzima,kila mtu alishika lake, baadae wakakutana waka solve prblm zao wakarudiana, mapenzi moto moto tukatangaziwa uchumba tukaenda kula vinono, wakawa wanaishi pa1 kama wachumba wakiweka sawa mipangilio ya ndoa, kila mwanamke atakapomuuliza mchumbake kuhusu ndoa ataambiwa mwezi wa 6, mwezi wa9 mpaka leo hii

Kumbe kile kipindi walichokorofishana mwanaume alioa na ana ka bay gal kwao Mbeya! Jana ma frnd anani-call usiku kuniomba tuonane ajue anafanyaje na maisha. Kwenda anasema alipotoka job jioni alikutana na frnd wa huyo mchumbake ambae yupo Mbeya kikazi but amekuja likizo, ktk maongezi akamwambia "Hata kama uliaachana na jamaa but nyie mlikuwa wapenzi kutengana ni kitu cha kawaida kwanini hukuja kwenye harusi ya jamaa?"

Anasema nilisikia kuzimia, akam-call mchumbake awahi home wayaongee mchumbake akakubali kwamba kweli ameoa na blaa blaa kibao, analiaaa weee jamani mie nitafanyaje, jamani kwanini niliwaita kwenye engagement yangu ningejua ningefanya kimya kimya ili hii aibu inikute kimya kimya!....anafikiria ataawambia nini wazazi, atarudije home.. ata... ataa.. ataa..... mesenja kaleta balaaaaa.

Nimsaidieje?

Haina jinsi ni kuachana nae huyo jamaa,kuna watu wengi tu wanavunja uchumba kwasababu mbalimbali. Tangia hapo,huyo rafiki yako asiwaze kuwaridhisha watu wengine watamwonaje,yeye ana tatizo hilo alitatute kwa kumwachia huyo jamaa akakae na familia yake. Usikute na mke wa Mbeya hajui kama jama ana mchumba mwingine tena pati kubwa jamani si kudhalilishana huko?!..

Hapo inaonesha jinsi gani unavyoweza kuwa na mpenzi mmekaa hata miaka 5 na usijue ukweli kuhusu maisha yake. Kama alikuwa anakaa na huyo rafiki yako kila siku na manjonjo yote hadi uchumba. Lazima kitakuwa kimemuumiza sana!

Amwache huyo jamaa!

Sharing is caring but not mapenzi tena ukijua inaumaa!
 
eeebo! hakuna mtu anaoa demu bila kuonja.....apime kama bwawa au kisima...........rakili hiri rijanaume rimeniuzi kweli kweli......na hana huruma na mwenzie yaani mpaka anakubali kufanyiwa party ya engegement kumbe keshaoa anaunyuti tu...........ushauri huyo dada aachana na kijamaa hicho kwanza inaonekana ni mpenda miteremko...

Huyo anapenda kutelemka kwa Sadalla!!
 
Kungekuwa na sheria ya mtu kama huyu kupandishwa kizimbani kwa kusema uongo na kutaka kufunga harusi nyingine wakati ana mke mwingine tayari huko Mbeya.
Hao nashauri nyie wakinadada muwaroge tu...akatike kende zake......au mpini uamie mgongoni....imetokea S'wanga....jamaa alifunga breeeek mwenyewe akarudisha majeshi
Huyo anapenda kutelemka kwa Sadalla!!
Kuna sehemu moja Moshi ukiwa unakwenda Atown ianaitwa kwa sadala.....basi pale madereva wakifika ni kuachia gear tu.....mterezoooo....thats name came from.....
....ial shem mie ni mmoja wapo napenda kwa sadala.....si unajua credit crunch sitaki shida.....hihihihihihihi
 
Kweli yo yo tena ni kama kule kenyattaboys Ta*** unakumbuka. Mash****!
 
Walikuwa wapenzi kwa muda wa mwaka1! wakaja kutofautiana na kutengana kwa mwaka mzima,kila mtu alishika lake, baadae wakakutana waka solve prblm zao wakarudiana, mapenzi moto moto tukatangaziwa uchumba tukaenda kula vinono, wakawa wanaishi pa1 kama wachumba wakiweka sawa mipangilio ya ndoa, kila mwanamke atakapomuuliza mchumbake kuhusu ndoa ataambiwa mwezi wa 6, mwezi wa9 mpaka leo hii

Kumbe kile kipindi walichokorofishana mwanaume alioa na ana ka bay gal kwao Mbeya! Jana ma frnd anani-call usiku kuniomba tuonane ajue anafanyaje na maisha. Kwenda anasema alipotoka job jioni alikutana na frnd wa huyo mchumbake ambae yupo Mbeya kikazi but amekuja likizo, ktk maongezi akamwambia "Hata kama uliaachana na jamaa but nyie mlikuwa wapenzi kutengana ni kitu cha kawaida kwanini hukuja kwenye harusi ya jamaa?"

Anasema nilisikia kuzimia, akam-call mchumbake awahi home wayaongee mchumbake akakubali kwamba kweli ameoa na blaa blaa kibao, analiaaa weee jamani mie nitafanyaje, jamani kwanini niliwaita kwenye engagement yangu ningejua ningefanya kimya kimya ili hii aibu inikute kimya kimya!....anafikiria ataawambia nini wazazi, atarudije home.. ata... ataa.. ataa..... mesenja kaleta balaaaaa.

Nimsaidieje?

mkuu nyamayao,asiwaumize kichwa mzushi huyo kama mko serious lets hook up.muulize rafiki yako if she likes meeting people online then si tutafutane chamber ili nim contact?
ila kwanza niambie ana umri gani na sifa zake nyingine.mimi sijafika 30 bado,ama inakuwaje?
 
Jamani, mimi namwonea huruma sana shoga yako. Sisi akina dada mara nyingi huwa tunajisahau tunawajali wenzetu(wachumba, boyfriend) kuliko tunavyojijali sisi wenyewe. Hiyo aibu ni yake huyo bwana kwa kumdanganya yeye kwa kumvisha pete wakati anajua alishafanya kweli huko mbeya. Cha muhimu shoga yako apige moyo konde na awaambie wazazi wake pamoja na ndugu wengine wahusika kisha aanze maisha yake upya kama single. Hili ndilo fundisho kwa sisi wote na pia kwake yeye maana alikuwa hana sababu ya kuwadanganyeni nyie kuwa alishaenda mbeya kuwaona wakwe.
 
Pole sana.. Je ulishawahi kutenda/kumtenda any? if Yes wewe pia wa kazi gani?

Kosa ni kukubali kumegwa kabla ya kuolewa!.. why umegwe before marriage?...., sometimes binti anahamia kwa men before....

'Dadas ambao hawajamegwa.. Usikubali kumegwa kabla ya kuolewa, hata kama anaetaka kumega ni muoaji..USIMPE'. hii kitu ni special kwa MuMe!

Kuna mtu atakayetaka kuuziwa mbuzi kwenye gunia?? Kumegana kabla ya ni kitu cha kawaida. Kinachoongelewa hapa ni kutokuwa na uaminifu.
 
Haina jinsi ni kuachana nae huyo jamaa,kuna watu wengi tu wanavunja uchumba kwasababu mbalimbali. Tangia hapo,huyo rafiki yako asiwaze kuwaridhisha watu wengine watamwonaje,yeye ana tatizo hilo alitatute kwa kumwachia huyo jamaa akakae na familia yake. Usikute na mke wa Mbeya hajui kama jama ana mchumba mwingine tena pati kubwa jamani si kudhalilishana huko?!..

Hapo inaonesha jinsi gani unavyoweza kuwa na mpenzi mmekaa hata miaka 5 na usijue ukweli kuhusu maisha yake. Kama alikuwa anakaa na huyo rafiki yako kila siku na manjonjo yote hadi uchumba. Lazima kitakuwa kimemuumiza sana!

Amwache huyo jamaa!

Sharing is caring but not mapenzi tena ukijua inaumaa!

huyo mke atakuwa hajui lolote coz hajawahi kufika kwa mumewe, yeye alizaliwa mbeya, anaishi mbeya kaolewa huko huko, na bila yule rafiki wa mchumba kutokea mdada acngejua lolote coz wanaishi pa1 na hakuona dalili za kutendwa bali alikuwa anajiulizaga mbona mipangilio ya haruc kila cku inahairishwa? alijiuliza sana na jibu kalipata juzi! jana amechukua uamuzi wa kurudi nyumbani aanze maisha mapya, but mchumba anamwambia yeye alikuwa anatamani sana kumwelezea kwamba kaoa but alikuwa anahic atamkosa/watakorofishana ndio mana akaamua kukaa kimya coz anampenda"" sana"" na hataki kumpoteza!......haaa nyie wanaume nyie loooo
 
Ashukuru MUNGU kafunuliwa mapema si kuna yule mama aliyeweza kuishi na waume wawili pasipo kujuana mpaka kifo chake?......... dunia siku hizi imshafika ukingoni
 
Mimi siku zote huwa ninasema usimrudie mtu mulie kosana naye.DO NOT RECYCLE.Maboy na madame wapya wako wanaotafuta mchumba, why go back to your ex.It is always a bad omen.In my opinion,personal experience and what Ive seen from other people's relationship.Sasa ona!

Nywy she's still in luck amejua haya kabla ya kupata ball,aondoke kabla ya makubwa zaidi hayaja mpata.Let her imagine that the guy died what would she have done?Angekwamilia kaburi kwa sababu watu wote walikuwa wakijua wako na uchumba?

Maisha mafupi,No tym to waste.Dry yo tears and move on while u r still beautiful.Dont let frustrations za wanaume zikupee ulcers ama HBP.
 
Kaaaaaazi kweli kweli

Siku hizi nani anakubali kuuziwa Mbuzi kwenye Gunia.........Ukienda nyumbani ukakuta ni Kuku au Kondooooo weweeeeeeeeeee

Na tena lazima umege saaanaa uone Utamu wake NA TENA nasisikiza Umpachike Mimba Usije ukaoa BOYA

Wangapi leo hiii wameoa na wapo kwenye Ndoa mwaka wa 3 au 4 au hata 2 Hawajapata mtoto................wamechanganyikiwa...........toooooooooo late Treni imeshafika KIGOMA hiyooooooo

Lazima Kujitangulizia Krosi ha ha ha ha ha ha aha ah
 
Jamani kina dada na kina kaka siri moja kubwa ya ndoa ni uaminifu,maana ya uaminifu nini?, au ukweli ninini?. Ukitafakari maneno hayo yanakupa jibu nini cha kufanya. Kwanza huyo mchumba ni mwongo hajakwambia ukweli sasa unataka kuolewa naye hali si mkweli leo anakudanganya hali hajakuoa au kumwoa ukisha kamilisha zoezi hilo linalotaka uaminifu na ukweli utajifunguaje endapo utaendelea kugundua mengi aliyokuficha.(uchumba si harusi)ndo maana huwa tunawashauri vijana mkiwa wachumba msianze kujamiiana ovyo kwani huyo anaweza kukuchezea na akakuacha solemba.Engagement yenu haijalishi chochote ni bora ikavunjika kuliko kuvunja ndoa.Huyo mwana dada kama anahitaji mume kweli huyo jamaa hamfai hata akijakuwa mke wapili.
 
ni wakristo!anahofia ile engagement party 2liyokula itakuwaje, ataeleza vipi home kwamba alikaa na lim2 kwa cku zote hizo bila kujua kama ameoa au laa! swali langu kwake jana lilikuwa""mbona ulisema uliendaga mbeya kwa wazazi wa mchumba kutambulishwa sasa ilikuwaje tena?...kumbe alitudanganya hakufikaga huko but alisema alikwenda.

mbona mnamhukumu "mpambanaji" bila kumuangalia huyo dada na "fix" aliyowapiga wenzake kwa kudai amefika kwa wazazi wa mchumba?
huyo dada alijua kinachoendelea ila alitaka kuamini kwamba sio kweli
kwamba mchumba ana mke mbeya.

nyamayao mshauri shosti wako aendelee tu kuwa nyumba ndogo kwani yaelekea
amependa.
 
alivyonielezea kuhusu hiyo ishu ni kwamba kweli walikubaliana na mchumba waende mbeya na akaomba na ruhusa job, mchumba akasubiri mwenzie mpaka akaomba ruhusa na kila kitu cku ya kuamkia safari mchumba akaumwa na ""malaria ya ghafla"" so hawakuweza kwenda but yeye alijickia vbya sana mchumbake kila cku kumdanganya mara hivi mara vile akabidi tu atuambie na sie kuwa alienda! mwanaume alipoona ruhusa ya mchumba imeisha nae alipona ""ghafla""
 
Hiyo movie ni kali sana sio kidogo!
 
Nyamayao kila wakati visa unavyoleta utata mtupu: hao marafiki zako vipi, vicheche au wana mtindio wa ubongo? Kwani utatuzi wa visa hivyo ni mwepesi "Usifikirie watu watasema nini au watanionaje bali simama wewe kama wewe kwa maslahi yako. Plz control your destiny".
 
Mwambie achukue leave ya two weeks or more auguze machungu...then life goes on!!!
Ni kawaida sana, bt alitakiwa awe anasoma Alama za Nyakati. Awe anaweza kusoma viashiria.....It is very common nowadays lakini kinachonishangaza ni eti mtu aoe tena mchana kweupe asijue!!!
 
Nyamayao kila wakati visa unavyoleta utata mtupu: hao marafiki zako vipi, vicheche au wana mtindio wa ubongo? Kwani utatuzi wa visa hivyo ni mwepesi "Usifikirie watu watasema nini au watanionaje bali simama wewe kama wewe kwa maslahi yako. Plz control your destiny".

jamani sio vzr ku2mia neno kicheche, cwz kuwa na mafrnd vicheche, ni watulivu/wasikivu bali kutendwa kupo na anaetendwa sio lazima awe kicheche.....
 
Back
Top Bottom