Asante kaka, mkataba ninao, iko wap hyo.Private au gvt? Nenda mahakama ya kazi kapeleke malalamiko yako huko watakushauri chakufanya
Hata kama mleta uzi yuko Mbeya aje Dar jengo la Red Cross?? Unadhani kila mtu yuko Dar.Miezi minane mbona mingi sana?!!
Una mkataba wa ajira? Kama unao nenda Mahakama ya usuluhishi wa migogoro ya kikazi.
Ipo jengo la Red Cross barabara Bibi Titi. Ghorofa ya Tatu kama upo Dar lakini.
OK, Thx ngoja nfuatilie hko.Miezi minane mbona mingi sana?!!
Una mkataba wa ajira? Kama unao nenda Mahakama ya usuluhishi wa migogoro ya kikazi.
Ipo jengo la Red Cross barabara Bibi Titi. Ghorofa ya Tatu kama upo Dar lakini.
Soma mpaka mwisho nilicho andika. Nimemuambia hayo maelekezo ni iwapo yupo Dar.Hata kama mleta uzi yuko Mbeya aje Dar jengo la Red Cross?? Unadhani kila mtu yuko Dar.
Hata kama huna mkataba siza joel nenda ofisi za kazi zilizo karibu na wewe.
Dah yan acha tu ndo maana sa hv nkiitwa na shule kazma nijue ulipaj wake n bora niuze karanga kuliko kupoteza mda wote huo