jamani wamasai we acha tu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

jamani wamasai we acha tu

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by merali, Aug 31, 2012.

 1. m

  merali Member

  #1
  Aug 31, 2012
  Joined: Aug 31, 2012
  Messages: 30
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kuna mmasai mmoja alikwenda mckitini na rafiki yake,wakat wanatoka nyumbani yule rafiki yake alimwambia kila ki2 watakachofanya mckitini na yy afanye sasa kutokana na ujinga wa wamasai wakati wanasali kwa sababu walikua wengi na walikuwa wanainama na kuinuka bahati mbaya mwenzake akamgusa makalio kwa mkono kutokana na alichoambiwa na yy akamgusa wa mbele yake na kumwambia imerokea uko nyuma
  kilichotokea ni cri yake.........
   
 2. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #2
  Sep 1, 2012
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  khahaaaa hahahahahhahahah
   
 3. M

  MTENDAHAKI JF-Expert Member

  #3
  Sep 1, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,992
  Likes Received: 927
  Trophy Points: 280
  hii nayo ina MGONGANO WA KIMASLAHI SINA CHA KUSEMA!
   
 4. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #4
  Sep 2, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  anaeguswa si atajua ni bahati mbaya tu?
   
Loading...