Jamani utaamuuu kunyoana then mnado

Jamani utaamuuu kunyoana then mnado

Van dick

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2014
Posts
223
Reaction score
43
Usiku Huu baada ya pilika za mchana kutwa kila mmoja tumejikuta tunawaza kunyoana.... Bas mambo yakawa mambo, wife akaanza kunishevu ikulu yote.. Ikaja zamu yangu ile sjafika nusu tumejikuta hoi tukfanya yetu... Baada ya kupour shampen nikamalizia kpande kilichobak kabla hatujafunga ukurasa Wa malavdav usku Huu kwakuoga... Usiku mwema wana JF
 
mhh kama naangalia movie ya kichina vile cjui nimeelewa au cjaelewa zo naona mada imekaa kama vile ya mtu ambaye hajafikiri kabla ya kupost
 
mhh kama naangalia movie ya kichina vile cjui nimeelewa au cjaelewa zo naona mada imekaa kama vile ya mtu ambaye hajafikiri kabla ya kupost

unaweza ukala ban la muungano bora upite tu
 
ulikuwa wapi siku zote wee mbwiga mpaka usilifahamu hili? hujafundwa? hiyo starehe is very addictive...! angalia usije ukataka kunyoa tena kesho wakati kiwanja kisafi! halafu kuna new version ya kushave ntakutumia
 
Ndio kwanza leo nini?

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

farkhina ni sherehe za muunganiko wa serikali 3 zimeanza serikali ya mapinduzi zanzibar, serikali ya tanganyika na serikali ya jamhuri ya muungano ya tanzania
 
safiiiiiii hongereni kwa kupendana endelea kutupa updates tamu za ndoa yako
 
Weka na picha basi mkuu, naona uko excited kama sku yako ya kwanza kula mbilimbi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom