yaani i never expect him to ruin my valentine!!..
Wakuu mimi nina mdogo wangu wa kiume aged 14 years. Kiukweli dogo ni bonge la hb na anakaa kwangu since yupo std 5 now yupo form 2. Na mimi ndo namsomesha.
Mimi nina msichana wangu ambaye hana kazi yupo hom tu. Kiukweli ni mrembo mkarez u knw!!..super viwangoz u knw!!!.
Kumbe huyu dem kamshawishi dogo hadi akaingia laini then wakawa wanabanjua amri ya 6 nikiwa sipo!!..
Sasa jana nilirudi ghafla hom. Ile nafika nasikia kelele za mahaba toka chumbani kwa dogo. At first nilijua dogo kaja na mchuchu wake so nikawa vry frustrated nikaenda ku wa ambush ili niwacharaze bakora!!
Whaaaaaaat a suprize!!...dem wangu mwnyw na dogo wanakula the forbiden fruit!!...nika collapse!!
Nilposhtuka nikakuta dogo na shemeji yake wamekusanya vyao na kusepa na mpunga wangu kama 5m plus benki cards(my girl knows the pw). Yaani hapa nimebaki mweupe sina hata kumi mfukoni.
Wallah madem wa bongo ni majangazz!!..sasa dogo popote ulpo jua nikikukamata nazaa na ww pumbafyu!!
Au wadau mnanishauri niwafanye nini hawa mburukenge!!
Hilo cheko limetolewa na mwanume!!?
Ama kweli dunia imefikia kwenye diminishing point...!
Bila shaka you are not circumscised!
Teh.. Mkuu nimetania! Lol!
Bora shuleni kwenu mngekuwa mnaenda na week end.
mkuu,wewe ndo shamkware ninaekujua au mwingine?weka picha tafadhali
Acha kuandika uchwara kila siku. Wewe juzi ulipost dogo wako wa miaka 14 form 2 kalala na hawara yako pia kakuibia 5m leo bado unatuletea mashairi kama ya Mrisho Mpoto.heheheiyaaa!!.,tenaaaaa!!! Hakuna kama uswazi wajameni!!...yani ningejua ningelihamia mapemaaaa!! Nina mwezi sasa tokea nimehamia hapa kwa tumbo tandale baada ya maisha ya kishua kunikataa!! Huku watu wapo vere sosho hadi raha!!...afu mwenzenu nina kale ka ugonjwa ka mijimama yenye misambwanda ya ajabu!!...huku ndo wamejaaaa!!! Huku vigodoro kila siku wajameni!!..huko unakutana na mijanamike ya kiswazi iliyofungasha nyuma balaa!! Inanyonga mauno kama feni!!...mimi hoi!! Halafu hawana hata gharama ikizidi sana buku tano then unapewa huduma zote hadi choo unapewa jameni mweeh!!... Watoto wa kishua vere majanga!!..wanaringaa afu ukicheki hata shepu hawana!! Afu wanapenda hela hao kama benki!!.. Karibuni sana uswazi jamani!!...wale wanaotaka mijimama inayojua mapenzi ya nguvu wani pm then nitawa kuwadia!!...
Hahaaa!! Hatar, mm mwenyewe nimeshindwa kuelewa nimeishia kuguna tu..
point of no return!
ha!ha!haa!duh!haki sawa jamani mwache mendhio.
ndo yeye.We sindo yule wa wamakonde
ah! hata hatumtaki mtu anatuzidi mpaka wenye asili yetu labda awe mchangia.tutamsukumia upande wenu muda si mrefu.. anafaa kuwa na ninyi!!
ah! hata hatumtaki mtu anatuzidi mpaka wenye asili yetu labda awe mchangia.
bebi nipo hapa jamani jana nlikua safarini kwenda kijijini nkashndwa hata kukutafuta tuvalentaini wote majukumu haya ah!Hivi bebii unajua navokutafuta lakini?
bebi nipo hapa jamani jana nlikua safarini kwenda kijijini nkashndwa hata kukutafuta tuvalentaini wote majukumu haya ah!