hivi kwamfano umepewa ujumbe umfikishie rafiki yako unashindwaje kumfata pembeni ukamwambia mpaka ukamwambie kwenye watu wengi kila mtu ajue mambo yake?kuna mtu ameniudhi sana leo kaagizwa aje ampe ujumbe sister kaja mwambia mbele zawatu kila mtu kasikia hadi aibu maana ujumbe wenyewe ni wa deni.Kweli haya mambo gani lakini?Si mtu umwite pembeni umwambie?sio ustaharabu huu.
alipe deni la mtu yaani unapanga utaratibu wa kudaiwa
inawezekana sister ana tabia ya kutolipa madeni ya watuhivi kwamfano umepewa ujumbe umfikishie rafiki yako unashindwaje kumfata pembeni ukamwambia mpaka ukamwambie kwenye watu wengi kila mtu ajue mambo yake?kuna mtu ameniudhi sana leo kaagizwa aje ampe ujumbe sister kaja mwambia mbele zawatu kila mtu kasikia hadi aibu maana ujumbe wenyewe ni wa deni.Kweli haya mambo gani lakini?Si mtu umwite pembeni umwambie?sio ustaharabu huu.
UKAWA kweli ni suluhisho la yote. Yaani hakutakuwa hata na haja ya kwenda kazini. Ni kukaa kijiweni tu na kutandika viroba kwani Eddo atosha. Pipozi pawaaaaaa!!!mkiichagua ukawa hayo yote hayatatokea!
haya maisha tu,
alipe deni la mtu yaani unapanga utaratibu wa kudaiwa