Jamani ushauri wenu unahitajika, Graduation inataka kunitoa roho

Naamini hamjambo, bila kuchelewa niende Moja Kwa Moja kwenye mada. Yupo mdogo wangu wa kike wa mwisho, tulimpeleka short course mambo ya ufundi wa umeme wa magari. Mungu kamsaidia amemaliza salama, Sasa kesho kutwa wana maafali.

Sasa Mimi kama kaka, alinishirikisha kuhusu hilo, nikalipokea na nikamuahidi kushirikiana nae kadri nitakavyojaliwa ila ukweli ni kwamba naenda mwaka wa pili Sasa Hali yangu ya kiuchumi ni mbaya mno.

Ukilinganisha na status niliyokuwa nayo na mambo anayohitaji kifanyiwa mdogo wangu, kiukweli naona ni aibu isio na kichwa Wala mguu, nimemshauri akachukue cheti kimya kimya, then swala la kumpongeza tutalifanya hata siku nyingine, hapa ndio kajaa upepo hataki kusikia la mhazini Wala la mnadi swala,

Sasa ndugu zangu binafsi najua atajisikia vibaya Mimi kutokuwepo lakini sioni kama ni busara kulazimisha vitu ambavyo binafsi sioni kama ni muhimu kulingana na Hali ya mifuko yetu, kwanza anataka mavitu mengi complicated ambayo sioni kama yanamsingi kama Iko cheti, hebu nipeni uzoefu na busara katika hili.
Kulazinisha vitu vilivyo nje ya uwezo wenu kwa sababu ya status ni ujinga sana, anayelazimisha hilo ni mbinafsi sana.

Vitu vya msingi ni kuhitimu, kupata cheti, kutafuta kazi.

Hawa watoto msipokuwa nao makini mkawafundisha kuishi ndani ya uwezo wao, wataishia kujiuza ili kupata iPhone za kutambiana instagram kwa watu wasiowajua wala kuwajali.
 
Naamini hamjambo, bila kuchelewa niende Moja Kwa Moja kwenye mada. Yupo mdogo wangu wa kike wa mwisho, tulimpeleka short course mambo ya ufundi wa umeme wa magari. Mungu kamsaidia amemaliza salama, Sasa kesho kutwa wana maafali.

Sasa Mimi kama kaka, alinishirikisha kuhusu hilo, nikalipokea na nikamuahidi kushirikiana nae kadri nitakavyojaliwa ila ukweli ni kwamba naenda mwaka wa pili Sasa Hali yangu ya kiuchumi ni mbaya mno.

Ukilinganisha na status niliyokuwa nayo na mambo anayohitaji kifanyiwa mdogo wangu, kiukweli naona ni aibu isio na kichwa Wala mguu, nimemshauri akachukue cheti kimya kimya, then swala la kumpongeza tutalifanya hata siku nyingine, hapa ndio kajaa upepo hataki kusikia la mhazini Wala la mnadi swala,

Sasa ndugu zangu binafsi najua atajisikia vibaya Mimi kutokuwepo lakini sioni kama ni busara kulazimisha vitu ambavyo binafsi sioni kama ni muhimu kulingana na Hali ya mifuko yetu, kwanza anataka mavitu mengi complicated ambayo sioni kama yanamsingi kama Iko cheti, hebu nipeni uzoefu na busara katika hili.
Mtumie message ya hongera then mwambie hali ngumu haupo poa. Kama unaona noma UMWA ghafla waje wakuangalie wewe.... Both team to score
 
Yaani graduation ya nini? VETA?
mie nachoka tu kwa kweli. 😂😂😂

Yani sio kwamba hakajasoma ila ameona mtaani ajira kachu kameenda kujibust 🤣🤣🤣🤣 Sasa bahati mbaya sana kakuta bro, pesa tetele na kamenizoea maana kamekula sana michuzi yangu kipindi nipo njama.
 
Yaani graduation ya nini? VETA?
mie nachoka tu kwa kweli. 😂😂😂
Mkuu usiposhangaa ya firauni, utastaajabu ya mussa!

Graduation sasa'iv ni ujinga uliogeuzwa kuwa ni miradi ya watu ya kupiga pesa.

Kuanzia kumaliza 'vidudu' ni mahafali ya kufa mtu kwa kwenda mbele.

Tamaduni zingine sijui watu tunaiga kutokea wapi!

Mitaani napo kumechafuka, maana hata kutoa mwali tu ni 'shuhuli' hadi watu wanunuliane vijora!
 
Naamini hamjambo, bila kuchelewa niende Moja Kwa Moja kwenye mada. Yupo mdogo wangu wa kike wa mwisho, tulimpeleka short course mambo ya ufundi wa umeme wa magari. Mungu kamsaidia amemaliza salama, Sasa kesho kutwa wana maafali.

Sasa Mimi kama kaka, alinishirikisha kuhusu hilo, nikalipokea na nikamuahidi kushirikiana nae kadri nitakavyojaliwa ila ukweli ni kwamba naenda mwaka wa pili Sasa Hali yangu ya kiuchumi ni mbaya mno.

Ukilinganisha na status niliyokuwa nayo na mambo anayohitaji kifanyiwa mdogo wangu, kiukweli naona ni aibu isio na kichwa Wala mguu, nimemshauri akachukue cheti kimya kimya, then swala la kumpongeza tutalifanya hata siku nyingine, hapa ndio kajaa upepo hataki kusikia la mhazini Wala la mnadi swala,

Sasa ndugu zangu binafsi najua atajisikia vibaya Mimi kutokuwepo lakini sioni kama ni busara kulazimisha vitu ambavyo binafsi sioni kama ni muhimu kulingana na Hali ya mifuko yetu, kwanza anataka mavitu mengi complicated ambayo sioni kama yanamsingi kama Iko cheti, hebu nipeni uzoefu na busara katika hili.
Mahafali hayana maana ...kama amepata ujuzi inatosha ....aje mtaani apambanee kupata ajira au kujiajiri....period
 
Aisee kataa kabisa hiyo makitu,mi nilisomesha na mwisho kufikia binti yangu achukue cheti akaweka mezani bili kilo 8 ili apewe cheti nikatoa cash.🥲
Tokea hapo,sikumsikia tena mpaka siku kijana wangu ananieleza kwamba dadaake ana mimba kuubwa tu.
Nilibisha sana baadae nikampata
Kweli bana anayo,na sasa kamjukuu kana miaka mi 3 hivi baba hajulikani.
Nimechoka
 
Naamini hamjambo, bila kuchelewa niende Moja Kwa Moja kwenye mada. Yupo mdogo wangu wa kike wa mwisho, tulimpeleka short course mambo ya ufundi wa umeme wa magari. Mungu kamsaidia amemaliza salama, Sasa kesho kutwa wana maafali.

Sasa Mimi kama kaka, alinishirikisha kuhusu hilo, nikalipokea na nikamuahidi kushirikiana nae kadri nitakavyojaliwa ila ukweli ni kwamba naenda mwaka wa pili Sasa Hali yangu ya kiuchumi ni mbaya mno.

Ukilinganisha na status niliyokuwa nayo na mambo anayohitaji kifanyiwa mdogo wangu, kiukweli naona ni aibu isio na kichwa Wala mguu, nimemshauri akachukue cheti kimya kimya, then swala la kumpongeza tutalifanya hata siku nyingine, hapa ndio kajaa upepo hataki kusikia la mhazini Wala la mnadi swala,

Sasa ndugu zangu binafsi najua atajisikia vibaya Mimi kutokuwepo lakini sioni kama ni busara kulazimisha vitu ambavyo binafsi sioni kama ni muhimu kulingana na Hali ya mifuko yetu, kwanza anataka mavitu mengi complicated ambayo sioni kama yanamsingi kama Iko cheti, hebu nipeni uzoefu na busara katika hili.
Mpambanieni naye
  • ajisikie vizuri
  • tafuteni safari ya ghafla mwende naye mkoani, semen hata msiba
  • kwani hana sponsor, amalize kazi
  • niko tayari kupunguza mahari
 
Aisee kataa kabisa hiyo makitu,mi nilisomesha na mwisho kufikia binti yangu achukue cheti akaweka mezani bili kilo 8 ili apewe cheti nikatoa cash.🥲
Tokea hapo,sikumsikia tena mpaka siku kijana wangu ananieleza kwamba dadaake ana mimba kuubwa tu.
Nilibisha sana baadae nikampata
Kweli bana anayo,na sasa kamjukuu kana miaka mi 3 hivi baba hajulikani.
Nimechoka
Hongera babu, Lea kamjukuu kako ako ndo katakua karafiki kako..!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom