Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 370,953
- 858,877
Waoh!
Ndio nimejichanganya kutwa nzima sasa na sahivi i am very lonely.
Ukiweza jifunze meditation na elimu ya utambuzi
Usikubali kushawishiwa ukaondoa upweke kwa bangi sigara madawa ya kulevya wala kilevi cha aina yeyote ile kwakuwa badala ya kutibu tatizo ndio utalikuza