Jamaa wawili walienda baa wakawa wanapata ulabu taaratibu na watu walijaaa sana.
Baada ya mda kidogo maji ya dhahabu tayari yalikuwa yamekolea, sasa yakatokea mabishano baina ya wale watu wawili na kusababisha watu wote kutaharuki.
Alisikika jamaa wa kwanza akisema ; "…wewe huwezi kuniambia lolote bwana, kwanza nilisha lala mama yako", jamaa akazidi kusisitiza, "....au unabisha, ehe? Mimi nilisha lala na mama yako". watu wote walishangaa sana.
Ndipo baadae alisikika jamaa wa pili akisema; "….Baba naona wewe tayari umeshalewa, twende nyumbani".
Kumbe wale watu walikuwa baba na mwana (mzazi), watu walipigwa butwaa!
Mambo mengine yanawenyewe jamani!!