Jamani ufundi gani unalipa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani ufundi gani unalipa?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mr.creative, Jan 22, 2012.

 1. M

  Mr.creative JF-Expert Member

  #1
  Jan 22, 2012
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 504
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  ninamdogo wangu nataka nimpeleke ufundi,ufundi gani una lipa?
   
 2. Dunda kwetu

  Dunda kwetu JF-Expert Member

  #2
  Jan 22, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 265
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Dah swali kama hilo niliwahi kumuliza mjomba wangu akaniambia Uselemara..japo kwa sasa sielewi kama una maslahi zaidi ya lawama..
  Nakushauri kama dogo kichwa kinataka elimu msomeshe (Magari)Uselemara na ujenzi nina hakika akiwa na kichwa kizuri atafaulu kwa kazi hizo
   
 3. M

  Mgaya D.W JF-Expert Member

  #3
  Jan 22, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 966
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 60
  kusomea kitu kwa sababu kulipa ni tatizo mkuu,kwanza yeye anapenda nini pili anachopenda kinahijika kwa kiasi gan ktk soko.nasema hivi kwakuwa yamenikuta na hasa jamii inayonizunguka.kaa nae chini vzr mjadili kuona interest zake ili asije kukulaum kuwa ulimpeleka asikotaka hasa pale atakapokosa anachokitegemea.mtu asome kwa interest zaid japo ushauri pia huwa muhim,kwa mawazo machache naomba niulize machache ili nijarib kutoa mawazo yang na muono kwa ujumla.kafika level gan ya elim?,anapendelea masomo gan?,ana daraja lipi la ufaulu na jinsia gan?
   
 4. aikaruwa1983

  aikaruwa1983 JF-Expert Member

  #4
  Jan 22, 2012
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 1,362
  Likes Received: 1,188
  Trophy Points: 280
  mpeleke akasome mapishi VETA sherehe ni nyingi siku hizi...
  habari ya kusoma anachokitaka atakuja kupata kazi asiyoitaka...
  read btn line ndugu......
  ufundi utamchosha mapishi mzuka!!
   
 5. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #5
  Jan 22, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Ufundi bomba.
   
Loading...