Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 26,388
- 39,909
Umeelwwa ulichoandika?Hipo hivi, nilikwenda kwa yule, mtumishi wa mungu anaejihita, kiboko ya wachawi. Ebwana niliyoyashudia, jamani watu wanajua kutafuta pesa, mimi nasema nitabaki kwa dini yangu, hii ya Romani Katoliki.
Mpaka mwisho wa maisha yangu akuna mwamosa, sijui, musa, wala nani. Sasa nimefika pale,na sikua peke yangu, nilikua mimi na ndugu yangu pamoja na mgoj. Sasa tumefika pale eneo la tukio, mimi nikamwambia ndugu yangu. Ngoja niangalie taratibu apa nikatafuta wenyeji pale, kuna anko mmoja,akaniambia honana na yule dada. Kweli nikamfuhata, yule dada akaniambia nenda kakae pale na uyo mgojwa.
Nikaona hapana kwasababu pale nilikua na mgojwa, nikamtafutia kiti aweze kukaa. Mimi nikatoka mpa kwa yule ndugu, kumwambia. Na pia taratibu za yule dada azikunilizisha.Sasa wakati nipo kwa ndugu pale, sasa apa naombeni munisikilize kwa makini, apa, ndio kuna jambo.
Nipo pale nikamuona mkaka mmoja,yupo na kondoo wake pale, kama kunajambo anaongea naho,napalepale, alikuepo dada mmoja nae nafikili alikua nimuusika kwamana alikua anapanga watu. Nikabidi nimuendee nae nimuulize talatibu, majibu yake akaniambia niende kule mbele kama mwanzo,nikasema du, atary nikachoka. Unajua lengo langusikutaka nipoteze muda pale, najaligi sana muda.
Sasa wakati nimeludi kwa yule ndugu. Tukibadilishana mawazo, pembeni yangu alikua anko, mmoja, nikaona sio vibaya kumuuliza, nikamwambia hivi apa ukitaka kuonana na uyu mtumishi, yule anko akaniuliza umekuja na sh, ngap? Nikaona ngoja nimuite ndugu yangu, nae aje hamsikie yule anko,anko akaendelea kutuambia, akasema yeye, amefanya kumleta mke wake pale na kwamaongezi yake yule anko,ametoa pesa sh,40000 lakini bado wanasema haitoshi,wanamtaka ahongezee lakini wp.
Akaendelea kutuambia kwamba kunawatu,wanalalamika, wametoa pesa lakini,akuna chochote. Zimeliwa akatudokezea,anasema garama zakumuona uyo mchungaji sh. laki 500000,akatuambia kuna mama yeye walimwambia atoe kwanza Elfu 50000, ataweza kumuona lakini matokeo yake katoa iyo pesa akuna chochote, anatuambia mpaka muda ule anadai pesa,yake,nasikia anataka kwenda police. Yani kwakweli nilichoka mimi na yule ndugu wakati anaendelea kufunguka yule anko,akaja yule dada, akamwambia yule anko haondoke pale, du yani atary yule ndugu akaniambia niende nikamchukue mgojwa tusepe,Jamani tuweni makini mambo ni mengi.
Nasoma sipati kitu bado