Kitang'wa1
JF-Expert Member
- Dec 4, 2014
- 460
- 285
Huwa sipendi zile unapanda na mziki sauti ya juu sana, namwambia kabla, tafadhali usiwashe radio sauti ya juu ama usiiwashe kabisa, nilipotoka ni kelele tosha, na hata spidi namuomba iwe ya kiistarabu inayoeleweka, siyo kukimbia kimbia tu hovyo, akiwa mbishi kidogo, namuomba awe abiria nimuongoze mimi. Namuelewesha tu, maana Kuumia ama kuvunjika ukubwani, vitu vingi utavikosa ama vitakupita, nani anayataka hayo?!
Ahsante!
Mkuu Tnaamini hukuwa unatoa misamaha ya namna hiyo lakini
Jamaa yangu, kama ungejichanganya na hili kundi ungeshangaa sana, wanapata hela nyingi sana ila hata hesabu linawasumbua....Kutokana na huo mkumbatio na kusamehe nauli wanawapata sana masista duu wanaoiga maisha kwani wanawapeleka puta na vihela vya kila uchwapo.Dah mkuu kama hizi ndo mentality zao kwakweli kazi ipo.....kwann hawajionei huruma lakini?
sasa jamani kama kaikataa mwenywe who am I to force it?!
Mkwide umuwekee kwa mfuko wa jacket km hupendi msamaha wa kodi
Ukiwa bodaboda huna kanuni wala principles zozote unazozifuata ktk life experience. Days comes and passes softly
Mkuu unataka tuwasaidiaje maana wako wengi...
Tufanye maandamano au???
ai!..kazi yote hyo ya nini..kama hataki inamaanisha haihitaji,.bora nikanunue mchicha miee
Hahahaaa mchicha nao siku hizi inamwagiliwa maji ya mtaroni