duh mimi siwezi kuwasaidia kiukweli ukweliWasaidieni wajitambue msifurahie tu misamaha hii ya nauli tafadhali
Ngoja waje....Wengine wamejiajiri huko kwa sababu ya huo mkumbatio.....Unafikiri kwa siku atapata ngapi na za aina gani. Kuna kijiwe nilisikia wanaambiana namna ya kumsogeza mwenye saa 6 ili ziwaguse mgongoni, wanashika breki ghafla hasa kwenye kushuka kilima (Wadada hapa watanidhibitishia hasa kama saa 6)... Nafikiri ndio maana rafiki yao mkubwa ni kiroba.
nitakuwa nimekosea masharti ya hela aisee... hela haitupwi chiniWewe mpe hata kwa kuirusha hapo hapo, wanazihitaji mno nakuhakikishia
Mkuu unataka tuwasaidiaje maana wako wengi...
Tufanye maandamano au???
Mkuu unataka tuwasaidiaje maana wako wengi...
Tufanye maandamano au???
Ukiwa bodaboda huna kanuni wala principles zozote unazozifuata ktk life experience. Days comes and passes softly
Mbaya zaidi wanapigwa kweli kuhusu wake za watu, ila hawakomi tu, na hata waendesha bajaji pia. Sijui ni laana ama, hata sielewi. Nitamuelewesha my ubavu ajaye, awe anawapa nauli, akikataa amkemee kwa jina kuu la Yesu, na kumuelewesha pia.
Ahsante!