SuperImpressor
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 1,505
- 649
Kwa sasa hivi Avast Software wametoa Avast Internet Security 2014 beta 2. Beta ikimaanisha iko kwenye majaribio, Sasa swali ni kwamba watu wengi tumezoea kutumia softwares ambazo ni free na wakati mwingine pirated je, endapo ukitumia beta version ya Avast Internet Security 2014 kwa bahati ukakuta iko shwari haina bugz zitakazoathiri mashine au ukakuta ina bug moja isiyokuumiza kichwa na ukaona uendelee kuitumia je, utahitajika kuilipia au ndo vile tena umepona badlala ya kutumia zile free versions?