Jamani tupende KULA chakula ASILIA

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
734
chakula asili.jpg

Chakula asilia kitamu we achaaaaa
 
Chakula chenyewe kiko wappi baba mi naona matunda tu, tena wanayala kizungu na mirija nn...! Mimi nilijua ugali wa mtama, mboga ya mikubi na maziwa!
 
chakula kipi sasa hapo?
Hayo matunda au hao wadada? mi naona vyote vyakula tu
 
Chakula chenyewe kiko wappi baba mi naona matunda tu, tena wanayala kizungu na mirija nn...! Mimi nilijua ugali wa mtama, mboga ya mikubi na maziwa!
tena matunda yenyewe ya Msauzi..genetically modified..... yuk..!!
 
rekebisha kiswahili chako bwana, sema tupende kula matunda. sasa chakula hapo kiko wapi? au wataka kuchakachua tena kiswahili?
 
Chakula chenyewe kiko wappi baba mi naona matunda tu, tena wanayala kizungu na mirija nn...! Mimi nilijua ugali wa mtama, mboga ya mikubi na maziwa!

mboga ya mikubi?!, what is it?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom