Jamani tunaoomba kazi tuwe makini

Hapo kwenye mavazi ndugu Krister, nenda zanzibar ukute watu walioitwa kwenye usaili wanavyodress. masandals, kakupigia na kofia yake ya kuswalia, shati au flana haijachomekewa, kakupigia jeans ama kadeti, dizaini kama vile katoka home tu kwenda kununua vocha dukani. mwengine kumuimpress mwajiri basi atakuja na miwani ya jua kabisa kaining'iniza utosini

Nadhani either wewe si Mzanzibari au ni mbara ambae haijui Zanzibar, kwani hilo mbona si tatizo kabisa Zanzibar ukizingatia ile ni nchi ya 90% ya wakaazi wake ni waislamu, hebu angalia hata hao wakuu wake wa nchi wakati mwengine huvaa hivo unavovizungumzia ispokuwa mawani ya jua hili NAKUKATLIA KABISA! na hayo yalobaki sidhani kama ni tatizo kutokana na mila na desturi za kule. kwani tatizo ni kuvaa au kichwani kuwe kuzuri? umeshaenda pakistani wewe uone watu wanavovaa? panjabi maofisini, na je kule bara arabu umeona wanavaa nini? kanzu ! tatizo liko wapi? au ndio unataka kukashifu ! hebu kuweni wastaarabu kwanza, mtoa mada amesema mengine na wewe unaanza mengine, KWANI KATIKA KILA MADA LAZIMA KUBEZA ? na kama huna cha kucomment kuna ubaya gani kukaa kimya?
 
hapa mimi simo!
 
Kama haikutangazwa mtu anawezaje kuomba kazi, atafahamujie kuwa kuna nafasi ya kazi wakati huo? Nyie ndo wale mnaotoa vimemo kwa wapenzi, watoto wa shangazi, wajomba wakati muda wa maombi ulishapita, wakileta barua mnazichoka katikakati ya zile zilizokwwisha kupokelewa, matokeo yake mnaajiri watu wasioweza hata kuandiaka barua ya kiofisi. Hebu nawe jiuliza, kama kweli hukutangaza kazi, maombi ya kazi yanaletwaje na wewe kuanza kufanya shortlisting?

Sisi tunaosoma between the line tumemuelewa vizuri. Vp mwenzetu uko kwenye daladala?
 
Hapo kwenye mavazi ndugu Krister, nenda zanzibar ukute watu walioitwa kwenye usaili wanavyodress. masandals, kakupigia na kofia yake ya kuswalia, shati au flana haijachomekewa, kakupigia jeans ama kadeti, dizaini kama vile katoka home tu kwenda kununua vocha dukani. mwengine kumuimpress mwajiri basi atakuja na miwani ya jua kabisa kaining'iniza utosini

hizo sandals unajua zinavyoitwa babu....................wenyewe wanaita RAHAULA...........zanj hakuna kujishughulisha sana bwana kila ki2 mdebwedo
 
Back
Top Bottom