Jamani tunaomba po!

Kuna msemo unasema "wanawake mwalimu wao ni kipofu"
Sijui kuna ukweli!!
 

bora uwe single tu......kama ndio hivo
 
bora uwe single tu......kama ndio hivo

Suala sio kua single suala n ww kumjua mtu wako n wastail gan,coz mtu km mm ukinicheat bas ni ama zako ama zangu n bora uniambie tuachane ntakubali na stouliza hata sababu,lkn sio kupgisha k kwa mtu mwngne,yan kupita sehem ninayopita mm!!! Ahhhh,watu wengne tuna spirit mbaya,angalien na wanaume wa kuwafanyia ivo,wengne hatuwez vumilia,nakuua na mm najiua ,
 

style za kina Mushi.........
 
hivi ku-cheat ni kwenye mapenzi tu??

mi mgeni.....! lolz!
 
zamani ilikuwa wanaume ndo wana-cheat sasa wanawake ndo wamerithi na vya kurithi mara zote huwa vinazidi
 

aise wewe ni zaidi ya hatari yote hayo kisa k.u daah. mimi itaniuma lakini siwezi kufikia kufanya hivyo dunia imejaa warembo hii.mungu akuongoze usijefanya uovu huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…