Jamani tunaomba msaada hapa wakuu.

Jamani tunaomba msaada hapa wakuu.

KIOO

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2013
Posts
6,249
Reaction score
5,963
attachment.php


Elli
 
Last edited by a moderator:
Na sijui kwa muda huu kama bado ipo au wajanja wamesha piga bei maana kila kitu ni kupiga mkwanja tuu na kwa sasa naona bado mlima wa kilimanjaro tuu ndo uliobaki na huo naona kama bei ni bora apewe mzawa maana vyote wamepewa wadhungu na machina na wahindi huo sasa ni mzalindo tuu
 
Kama mimi ni abiria hapo nashuka fasta,hiyo si inaweza upaa angani halafu ghafla kitu hichooo ______________-
 
Kama mimi ni abiria hapo nashuka fasta,hiyo si inaweza upaa angani halafu ghafla kitu hichooo ______________-

Hahahaaa,mkuu inaonesha u-muoga sana kiongozi wangu heh heh.
 
Back
Top Bottom