Jamani tunaenda mbali sasa

Jamani tunaenda mbali sasa

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
Nimeshtuka sana baada ya kusikia habari kwamba muumini mmoja wa kanisa la EAGT kwa jina la BAHATI NGENUIKO eti nayeye amepewa maono kwamba 21 May ndo mwisho wa dunia,na kama isipotokea basi apigwe mawe adi kufa. Huu si ndo unabii wa uongo? Mnaonaje wenzangu? Mwisho kabisa nimalize kwa my favourate say," dont think today is the end of the world because its already tomorrow in Australia"
 
Hakuna aijuaye siku wala saa chakufanya wewe jiandaye muda wote.manabii wa uongo wapo usiwaamini
 
Huyu ni nabii wa uongo kabisa.

Maandiko yanatuambia pia kuwa, siku hiyo itakuja kama mwivi, [1Wathesalonike 5:1-3], tunasoma, "Lakini, ndugu, kwa habari ya nyakati na majira, hamna haja niwaandikie. …..siku ya Bwana yaja kama mwivi ajapo usiku. Wakati msemapo, Kuna amani na salama, ndipo uharibifu uwajiapo kwa ghafla, …". Siku hiyo maandiko yanatuasa kuwa hata malaika hawaijui, wala Mwana, [Marko 13:32] tunasoma, "Walakini habari ya SIKU ILE na SAA ILE HAKUNA AIJUAYE, HATA MALAIKA WALIO MBINGUNI, WALA MWANA, ILA BABA".
 
Mlisema mwisho wa Dunia itakuwa 2000 ukapita sasa mnaleta uongowenu hapa hii sio sehemu ya kufanya porojo za kina-Chiligati na Makamba
 
Mzeewaloliondo usipate shida... na hii desperation yetu, tutaona kila kitu mwaka huu
 
Mlisema mwisho wa Dunia itakuwa 2000 ukapita sasa mnaleta uongowenu hapa hii sio sehemu ya kufanya porojo za kina-Chiligati na Makamba

We Jamaa cjui hukuielewa mada au umechangia ilimradi? Sasa kina nani walisema? Mim nimeleta mada baada yakusikia ili wanajamii wachangie ila kama unaona inakukera hukulazimishwa kuchangia mkuu
 
Nimeshtuka sana baada ya kusikia habari kwamba muumini mmoja wa kanisa la EAGT kwa jina la BAHATI NGENUIKO eti nayeye amepewa maono kwamba 21 May ndo mwisho wa dunia,na kama isipotokea basi apigwe mawe adi kufa. Huu si ndo unabii wa uongo? Mnaonaje wenzangu? Mwisho kabisa nimalize kwa my favourate say," dont think today is the end of the world because its already tomorrow in Australia"

somthng is going around..dear Tanzanians watch it!
Isije kuwa ni planned phenomenon imposed by 'fake'politicians to avoid/diverge people's minds & attension from thnkng other critical issues including Rchmond,EPA,kagoda etc
 
Nimeshtuka sana baada ya kusikia habari kwamba muumini mmoja wa kanisa la EAGT kwa jina la BAHATI NGENUIKO eti nayeye amepewa maono kwamba 21 May ndo mwisho wa dunia,na kama isipotokea basi apigwe mawe adi kufa. Huu si ndo unabii wa uongo? Mnaonaje wenzangu? Mwisho kabisa nimalize kwa my favourate say," dont think today is the end of the world because its already tomorrow in Australia"

Mkiambiwa msile kitimoto... ona sasa , huyu mama ni mgonjwa wa akili.. nukta!
 
Nimeshtuka sana baada ya kusikia habari kwamba muumini mmoja wa kanisa la EAGT kwa jina la BAHATI NGENUIKO eti nayeye amepewa maono kwamba 21 May ndo mwisho wa dunia,na kama isipotokea basi apigwe mawe adi kufa. Huu si ndo unabii wa uongo? Mnaonaje wenzangu? Mwisho kabisa nimalize kwa my favourate say," dont think today is the end of the world because its already tomorrow in Australia"

I think she is sick!
 
Manabii wa uongo mbona wengi ni huyo+Babu+wazee wa upakoz wote+mzee wa efatha
 
Huyo mtabiri amelewa ulanzi

Hata mimi simwamini likini nafikiri lipi bora mtu akuambie kuna Mungu halafu ufile umeshajiandaa umkose na yule anayekuambia hakuna Mungu halafu unaenda unamkuta! Sijui utasema ulikuwa unatania au? Haya basi bora tu kujiandaa ukifika usipate shida, ila tuendelee na kazi zetu za halali vizuri ila maovu tuepuke maana hiyo siku tunaweza kupuuza ikala kwetu: ni mawazo yangu tu jamani, kwani kutenda mema japo siku mbili mnaona ngumu sana? Najua mtanipinga lakini mimi najiandaa mwenzenu, huo moto usiokuwa na mwisho siyo adhabu ndogo! Fikiri ingekuwa hata siku moj bado ni noma sana!
 
We Jamaa cjui hukuielewa mada au umechangia ilimradi? Sasa kina nani walisema? Mim nimeleta mada baada yakusikia ili wanajamii wachangie ila kama unaona inakukera hukulazimishwa kuchangia mkuu

Huyu kwanza mgumu kuelewa anakuambia mlisema mlisema na nani? Mchukulie tu poa inawezekana siyo yeye!
 
Manabii wa uongo mbona wengi ni huyo+Babu+wazee wa upakoz wote+mzee wa efatha

Wewe sasa ndiye nabii mbaya kuliko wote, mtu kukualert unaanza kupayuka, ooh Mara mzee wa Upako, mara Mwingira ilimradi tu umjibu,. Hivyo hivyo unapuuza mwisho unaangukia pua.
 
Hii hoja ingepelekwa kwenye jukwaa husika ingepata wachangiaji wengi zaidi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom