Jamani tumsaidie Kikwete, anapotupeleka sipo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani tumsaidie Kikwete, anapotupeleka sipo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MBURE JASHA, Jul 18, 2011.

 1. MBURE JASHA

  MBURE JASHA JF-Expert Member

  #1
  Jul 18, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kwa wanajamvi wote! nilikuwa napitia thread mbalimbali za wanajf. kuna vitu nimevikuta mwenyewe nikachoka kuna aliendika kuhusu Gazeti la Kenya,kuna anayesema kuwa analindwa na maruhani yote ni kweli tupu. Lakini naomba muangalie picha hii halafu mniambie kuwa HUYU NDIE RAISI MWENYE HADHI YA ASILIMIA 61 YA KURA ZA WATANZANIA

  carelessness.jpg
   
 2. Manumbu

  Manumbu JF-Expert Member

  #2
  Jul 18, 2011
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 1,751
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Hii ilishakuwepo hapa. hebu endelea kutafuta kwenye hizi threads utaikuta na ilishajadiliwa!
   
Loading...