haya endelea bhana sikubhughuzi kabisa ila angalia yasije kukupata kama yaliyompata KH
nishawazoea mie! nichumu bebi wangu plz!
mpaka uombe?
Kwahiyo huyo alikuwa amezagaazagaa?.anyway hongera sana thadealer
haya mapenzi hayatodumu, naomba nisiulizwe kwa nini.
ladydoctor usijali si uzinzi wala uasherati tushavipiga stop mpaka tuwe 2 in 1
umeona nilikwambia kuwa huyo ni dealer