SOORI MBISE
Senior Member
- Mar 11, 2012
- 152
- 106
Mwosha naye huoshwa,subira muda wako. Niwaombe jamaa wasikumalize tu,na wasiiharm familia.Hakuna fitina wala uonevu. Kilamtu alipata alicho panda. Tatizo wanafunz wengi wa sikuhiz za TCU hawasitahili kuwa chuo kikuu kwa level yao ya uelewa. Kunatatizo mahali na wenyewe hawataki kukubali uwezo wao. Kudhihirish kuwa sina makuu na mtu kunaambao walistahili kupata A na wamepata. Sasa sijui kosa langu ni lip? Hao ambao safari ya kijijin imewadia siyo course yangu tu wamepiga chin. Wamekamatwa na course nyingine.
Vijana wanakesha kwenye maandamano ya Bavicha, matokeo yake wanataka kumwagia tindikali mwadhiri baada ya kudisco...