Jamani tafadhalini sana, someni mtu mmoja anaitwa 'Papa Doc' wa Haiti

Tanzania ni Haiti 2.0. Hili nililiona karibia miaka 10 iliyopita na nimejiaminisha njia hiyo sasa haiepukiki.
 
Wakati mnawaza na kujadiliana hayo mengine, embu ngoja niupandishe huu uzi mpate kutafakari na hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…