Nina simu yangu, si kubwa wala si ndogo. Tatizo kila nikiitumia kutuma meseji, inatuma mara moja, na chaji inaisha hapo hapo. Nikisema niichaji, inachukuwa muda kujaaa...... Nifanyaje.....!!!???
nawapongeza wachangiaji wote kwa kutumia lugha ya kistaarabu zaidi kuendana na maadili ya MTANZANIA HALISI...hongereni....!mtandao si salama sana kwa watoto wetu DOT COM....hivyo baadhi ya lugha zinasaidia kutowapotosha....!CONGRATS.....!
Kunywa supu ya pweza nayo inasaidia kuongeza chaji kwenye simu; kama una uzito mkubwa jaribu kuupunguza kwa kufanya mazoezi; mazoezi kwa kila mtu yanaweza kusaidia simu iweze kufanya kazi vizuri zaidi.