Jamani shemeji mchepuko ananiwazisha

Jamani shemeji mchepuko ananiwazisha

sizani kama kweli una miaka 22 na upo chuo kwa sababu post yako haiendani kabisa na sifa hizo anyway kifo chema utakapo enda kumwambia jamaa kuwa umewahi zini na mke wake.

so nina miaka mingapi???afu ieleweke nahofia hasira ya MUNGU kuliko binadamu.Ndo maana nikafikiria kfny ivo!!kama una ushauri kutokna na elimu ya dini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom