Jamani serikali za mitaa hawasidii kama sio mwanacham wa ccm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani serikali za mitaa hawasidii kama sio mwanacham wa ccm

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kakini, Apr 17, 2011.

 1. k

  kakini Senior Member

  #1
  Apr 17, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 197
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani huku kwetu serikali za mitaa hawatoi misaada kwa wananchi kama wewe sio mwanachama wa ccm hii ni balaa
   
 2. only83

  only83 JF-Expert Member

  #2
  Apr 17, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,188
  Likes Received: 339
  Trophy Points: 180
  ..............Dhambi ya kuchagua CCM inawala...
   
 3. Josephine

  Josephine Verified User

  #3
  Apr 17, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 787
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  siyo kwenu tu,maeneo mengi ambayo yanawabunge wa upinzani kero hizo zimesikika.jipeni moyo mda waja yote yatakwisha.
   
 4. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #4
  Apr 17, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,358
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Nguvu ya umma hamna?
  Mkinyimwa huduma watu wote basi ichukueni haki yenu nyie vipi?
   
 5. Mufiyakicheko

  Mufiyakicheko JF-Expert Member

  #5
  Apr 17, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 893
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Pole sana niuelewa mudogo wahiyo selikali yamutaa mwenyekiti hajapata wajumbe wazuli wakumushauli msikatetama niutoto wakikuwa wataacha ushauli kamaunatatizo ukilipeleka kwamwenyekiti wa mutaa akishidwa kukutekelezea unaweza kumushitaki shelia inakulinda yeye yupo kutatuwa kelo za wanamutaa si chama
   
 6. Chona

  Chona JF-Expert Member

  #6
  Apr 17, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 476
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Pole sana. Hayo yote ni mapito. Siku moja yatakwisha.
   
 7. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #7
  Apr 17, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,292
  Likes Received: 315
  Trophy Points: 180
  Wapi huko mkuu,tutajie jina la mtaa na mtendaji wake tukufikie
   
Loading...