SuperImpressor
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 1,505
- 649
- Thread starter
- #21
Mkuu, ungetusaidia majina ya hizo official site ili tupakue nasisi.
Software gani unataka kupakua nikwambie
Mkuu, ungetusaidia majina ya hizo official site ili tupakue nasisi.
Software gani unataka kupakua nikwambie
Aaaah!! Niliweka windows 8 ila imenishinda kutumia bwana ,kwenye Graphics na Gadgets iko vizuri,Yani the whole interface kiujumla iko poa>Ila nimeshidwa kutumia Skype,pia Flashplayer inazingua cant watch Videos from youtube na sehemu zingine.Na pia haipo compatible na some of the softwares nazozitumia sana kama Oracle 11g client,Toad etc.Kwa kifupi imenichefua na kwa tetesi nilizozisika Microsoft anaipiga chini anakuja na Windows BLUE.
Niko addicted na Google Chrome yaani IE hata sitaki kuisikia!...
naweza kusema zaidi asilimia 50 ya watumiaji wa computer hawajielewi. internet explorer 9 na 8 ndio browser zinazotumika zaidi duniani zikifatiwa na mozila na baadae chrome. Wakati internet explorer 10 ni bora kuliko 7 na 8 lakini still ina watumizi wachache.Hili dudu IE sikulipenda tokea kwenye windows mobile mpaka kwenye windows pc sababu ni kuload taratibu na kibendera chake ila nimekuja kuikubali hii IE10 ya kwenye windows 8 kwa speed yake ukiCompare na hizi zingine. Kitu kingine ni kwamba ina uwezo mzuri sana wa kudownload, tofauti na Mozila ambayo wakati inadownload waweza shangaa inakwambia ''download complete'' na kumbe bado file halijafika hata nusu.