Salam wadau.
Tunaambiwa ni tatizo lilikuwa ni mkongo kukatika baharini, watu wengi hawajui mkongo ni nini unakaa wapi unatoka wapi na nani anaumiliki na nani anautengeneza huo mkongo.
Mtu anachojua ni kampuni ya simu tu voda, tigo, airtel nk. Hayo mambo ya mkongo unapita baharini hajui hilo.
Tuache huko tuje kwenye hasara walizopata mashirika na makampuni pamoja na taasisi zingine ikiwemo wafanyabiashara kwa ujumla,sasa nani yuko responsible hapo kwa hii cut off ya mtandao wa internet kwa siku kama mbili na zaidi?
Wajuzi karibuni.