jamani saranda... unakumbuka enzi zile....?

jamani saranda... unakumbuka enzi zile....?

kabanga

Platinum Member
Joined
Dec 12, 2011
Posts
37,649
Reaction score
19,042
IMG_1673.jpg



dada na maji ya kupima...
IMG_1677.jpg



IMG_1676.jpg



huyu na wenzake hawakosekani....
IMG_1687.jpg
 
Nakumbuka enzi hizo tunapita na treni kuelekea skuli Tabora girls
 
Umenikumbusha mbali mkuu. Enzi hizo tukipewa behewa zima shule za Azania, Jangwani na Tambaza - Dsm to Mwanza. Tulikuwa tunaita sehemu hiyo 'Kilimanjaro hotel '.
 
Back
Top Bottom