JAMANI OPA D4 YANGU! Msaada wenu tafadhali!

maph

Senior Member
Joined
Oct 16, 2012
Posts
177
Reaction score
50
Jamani gari aina ya opa D4 inanizimikia ukiweka kwenye D , kwa yeyote alikumbuna na tatizo hili anipe msaada wa kina au fundi wa Magari ya kisasa kama haya .Nimebadilisaha pump ya mafuta,plug na nimeweka mafuta aina ya engine cleaner ili yasafishe kama kuna uchafu kwenye Nozeri lkn bado.

Ukiweka kwenye D inazimika na hii inatokea mara moja moja sana,tunauhaba wa Mafundi wa magari wa kisasa TAnzania ndo maana watu wengine waziogopa Engine za kisasa kama hiyo.

NB🙂

Ushauri wenu naomba usiwe ni kubadilisha Engine na kuuza.Asante.
 
No way mkuu....hapo ni kuiuza au khbadklisha ingine kaka...nshakuwa na gari kama hiyo ilinisumbua sana....mwisho wa siku niliiza kwa hasara...
 
Nenda pale kigogo kama upo dar kuna mafundi watafanya diagnostics kwa kutumia diagnostics kit. Gari kama hiyo sio ya kupeleka kwa amfundi wa kubuni buni vitu. ukute tatizo ni dogo tu itaonyesha kwen hiyo kit.

Halafu unapenda ushauri kisha hutaki tena wa kuiuza? hahahahaaa
 
Labda gearbox ishakua kimeo, not engine!!
 
kama hutki ushauri wa kubadili engine au kuuza ipeleke ubungo kwa mzee wa upako itapona.
 
kaka hata mimi nna honda crv kimeo icho nimepeleka kwa fundi kaikagua kanambia nibadilishe petrol filter yangu ikiwa kwenye mwendo inabadili gia kuwa free then inarudi kwenye D kama vile wese limekata na imetokea baada ya kujaza full tank nkaisi labda mafuta machafu au nini
 
,nyie nyote pelekeni kwa mafundi sahihi wenye vifaa na si wa kupiga ramli kama hao mloapelekea. kuna vifaa vya kuscan na kukwambia wapi tatizo lipo na waweza kuta tatizo ni dogo tu. wewe wa honda nahisi ni gear box ina shida. mngekuwa arusha mngepata kutengeneza magari yenu na yakapona. kuna mtu ni fundi wa uhakika na anayo diagnostic machine ya magari. anatengeneza magearbox ya aina zote zikiwemo automatic. kama mko arusha nambyake ni 0787175217 ni kijana mstaarabu sana so atawasaidia. mkimkosa kwa hiyo mseme niwape nyingine. au waweza enda direct pale Ricks then ulizia fundi wa magari. is just there
 
Mkuu inawezekana ulikuwa hujaizoesha full tank kwa hiyo ulivyojaza haijiaminiamini kama ni yenyewe kweli au la..!
 
Nenda pale kigogo kama upo dar kuna mafundi watafanya diagnostics kwa kutumia diagnostics kit. Gari kama hiyo sio ya kupeleka kwa amfundi wa kubuni buni vitu. ukute tatizo ni dogo tu itaonyesha kwen hiyo kit.

Halafu unapenda ushauri kisha hutaki tena wa kuiuza? hahahahaaa

Mkuu Kaizer tatizo mafundi wengi wa Mtaani wanajua Kugonga nyundo, kubadili filter na kusafisha, Magari mengi ya kisasa yanatumia Umeme na Electronic nyingi kuliko Mechanics issues, Ni vizuri ukaenda kwa Mafundi ambao wanaweza kufanya diagnosis, wanaweza kutafrisi troube codes zinatolewa na Computer. Unaweza kukuta ni Filter flani imepata uchafu au imejaa Carbon kwa hiyo transmission inakuwa siyo nzuri. D-4 engine zina nguvu sana na kwa kweli zinahimili Mazingira mengi. Tatizo si D-4 engine bali mafundi wetu ni Zero Brain. Peleka gari yako Toyota au kwa Mchina pale Kijitonyama (Kelvin). Unaweza kukuta ni EGR valve au anything imejaa carbon
 
Last edited by a moderator:
Jamani gari aina ya opa D4 inanizimikia ukiweka kwenye D , kwa yeyote alikumbuna na tatizo hili anipe msaada wa kina au fundi wa Magari ya kisasa kama haya .Nimebadilisaha pump ya mafuta,plug na nimeweka mafuta aina ya engine cleaner ili yasafishe kama kuna uchafu kwenye Nozeri lkn bado.

Ukiweka kwenye D inazimika na hii inatokea mara moja moja sana,tunauhaba wa Mafundi wa magari wa kisasa TAnzania ndo maana watu wengine waziogopa Engine za kisasa kama hiyo.

NB🙂

Ushauri wenu naomba usiwe ni kubadilisha Engine na kuuza.Asante.

Nenda TOYOTA Tanzania, anzia pale posta ya zamani karibu na NBC, watakusaidia mimi
Lexus LS 500 yangu huwa napeleka hapo na ni wazuri sana!

ulaya gari kama hzo huwa wanazitupa sasa mimi naona ui2pe tuu kama utafuata ushauli wangu ntafute ntakwambya wapi pakuitupia sawa!
 
mtoa mada kama nilivokueleza nami gari yangu inatatizo kama lako nimetola kuchek umeme walichofanya ni ku desconect alarm tu na sasa gari iko poa kabida nimetest hadi bagamoyo haijaleta tatizo tena, na wala si gearbox kama walivokushauri hapo
 
kaka hata mimi nna honda crv kimeo icho nimepeleka kwa fundi kaikagua kanambia nibadilishe petrol filter yangu ikiwa kwenye mwendo inabadili gia kuwa free then inarudi kwenye D kama vile wese limekata na imetokea baada ya kujaza full tank nkaisi labda mafuta machafu au nini

ilikuwa haijazowea full tank......usirudie tena kuijaza full. endelea kueka lita mbilimbili....
 
mtoa mada kama nilivokueleza nami gari yangu inatatizo kama lako nimetola kuchek umeme walichofanya ni ku desconect alarm tu na sasa gari iko poa kabida nimetest hadi bagamoyo haijaleta tatizo tena, na wala si gearbox kama walivokushauri hapo

haiwezi kuwa gear box huyo aliye shauri ivyo hajui illo li engene kama umeliosha na maji ndo basi lazima uitoe uweke ingine hutaki unaacha by the way daladala ni nyongi sana....
 
Nenda pale kigogo kama upo dar kuna mafundi watafanya diagnostics kwa kutumia diagnostics kit. Gari kama hiyo sio ya kupeleka kwa amfundi wa kubuni buni vitu. ukute tatizo ni dogo tu itaonyesha kwen hiyo kit.

Halafu unapenda ushauri kisha hutaki tena wa kuiuza? hahahahaaa

Ok, nashukuru sana, nisehemu gani hapo kigogo ? niko Dar tafhali.
 
,nyie nyote pelekeni kwa mafundi sahihi wenye vifaa na si wa kupiga ramli kama hao mloapelekea. kuna vifaa vya kuscan na kukwambia wapi tatizo lipo na waweza kuta tatizo ni dogo tu. wewe wa honda nahisi ni gear box ina shida. mngekuwa arusha mngepata kutengeneza magari yenu na yakapona. kuna mtu ni fundi wa uhakika na anayo diagnostic machine ya magari. anatengeneza magearbox ya aina zote zikiwemo automatic. kama mko arusha nambyake ni 0787175217 ni kijana mstaarabu sana so atawasaidia. mkimkosa kwa hiyo mseme niwape nyingine. au waweza enda direct pale Ricks then ulizia fundi wa magari. is just there

Niko dar , Ricks iko maeneo gani ?
 
mtoa mada kama nilivokueleza nami gari yangu inatatizo kama lako nimetola kuchek umeme walichofanya ni ku desconect alarm tu na sasa gari iko poa kabida nimetest hadi bagamoyo haijaleta tatizo tena, na wala si gearbox kama walivokushauri hapo

Ndugu, naona kama ushauri wako ni mzuri kama unamatumaini vile ngoja , kwahiyo unauhakika na wewe Gari ilikuwa inatatazo kama hilo na ukatoa alamu ikawa safi!? mimi nimefunga alamu ambayo naweza kuwasha gari niko nnje.
 
Back
Top Bottom