Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,448
Aisee nisamehe, hasira got better of me hadi nikaflow tu bila kufikiria kuwa nimekuqoute wewe.
Aisee nisamehe, hasira got better of me hadi nikaflow tu bila kufikiria kuwa nimekuqoute wewe.
Ha ha ha ha, i like this. Eti hasira got better of me!
Ila kuna watu unawakasirikia hadi basi, sasa anasubiri nini wakati kapewa kila kitu mchana kweupe?
Bi shomvi, you shld not leave to regret!!!!!!!!!
jst simple thing...........make him pay for what he is doing to you...................hahahhhahahh!!!! i real love such kind of people manake one mistake one goal na sera yangu kidali lazima alale nacho mwingine whatever the cost period!!!!!!!!!!!! ............................it is never late until its late........and never let it to be late!!!!!!!!!!!!
kwani bishomvi wewe hujui kulipa kisasi enh????
Huyu kakuchakaza na wewe mchakaze, mfuje kama anavyokufuja, mwonyeshe kwamba wewe u mwanamke tena wa shoka. Go back to your folders angalia ambao wako kweye reserve list anza nae mdogo mdogo, huku ukichanga karata zako sawasawa, siku unampa kubwa kwamba HATA YY SIO MWANAUME WA SAIZ YAKO NA UMEMPATA ALIYE MWANAUME WA UKWELI MAKE HIM FEEL HE IS NOTHING AND NOT EVEN A PIECE!!!!!!!!!!!!!!!! mfanye ajiskie low vibaya sana kiasi kwamba ahame mkoa. Hujui chochoro za mujini wewe enh!
Ukiskia mjini ndo hapa ukimwona ngedere kafugwa huyooooooo!!!!!!!!!!!!!!!!
sidhani kama ntakuja kukuoa wewe na ukae ukijua kwamba ukiamua ondoka au ubaki nikufuje tu,ila swala la mimi kwenda kwenu sahau.
Unalia kwani kaondoka na sura ama umbo lako??!!!! EBOOOOOOOOO!!!!!!!!!!!!!!!!! Amka oga tupia pamba yako ingia kitaa tafuta mahali kaa alone kula kunywa, huku ukipanga strategies!!!!!!!!!! yaani ungekuwa mdogo wangu ningekuwasha kibao utie akili....................DONT YOU HAVE PPLE IN UR RESERVE LIST?? ITS TIME TO CALL ONE ON BOARD and start to have fun. Huku ukipanga baada ya kupamba nini kifwate.............its so simple to deal na hawa wanaume wanyanyasaji kama unaakili kama yangu.yer inauma sana yani leo sijaenda popote nipo tu chumbani nalia sana.siamini kama mambo ambayo nayaona na kuyasikia leo yananitokea kwangu.siamini
You sound exactly like lara 1.
SHIT.............UHAME UENDE KWENU KUFANYA NINI???????............MAKE HIM PAY FIRST!!!!!!!!!!!!Asante sante dada yangu,Nakuahidi nitaufuata ushauri wako,ila cha kwanza itabidi nihame huu mkoa,niludi kwetu Zanzibar na kutafuta kazi upya.Naona haya manyayaso sasa yamezidi na sitovumilia tena kuona naumia kila siku.
asante sana kwa ushauli wako,ni ivi jamaana leo anakwambia siwezi kukuoa wewe,kesho anakuomba samahani na kujuta sana kwa maneno aliyosema.tatizo linalokuja ni kwamba tayali tumeshafungua miradi mingi na yeye.
Hivi wewe huju kwamba muda mwingine Mungu hutupa nafasi ya kutumia utash wetu?? Na kwamba usalipo shurti na wewe uwe msafi sasa umezini nae miaka yote hiyo leo wataka umsomee albadiri enh!! Kabla ya kwenda huko angejua kwanini bahari imekomea pwani tu na bara haikufika.Najua nikimlipizia kisasa nahisi atakufa siku hiyo hiyo,Acha niondoke kwa amani ila nitamuomba sana Mungu amlipe kinacho stahili.Mimi ni Msichana Mwenye imani sana na nikisema nikuswalie warahiiii! hubaki.