Jamani nyie kuna watu wana roho ngumu mazee!!

Jamani nyie kuna watu wana roho ngumu mazee!!

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2008
Posts
14,630
Reaction score
4,267
Hata kwa dawa hapa staki!!

1554604_10154332514935444_6482822464370106154_n.jpg

This is one of the most dramatic pictures of the month. Photo captured from an Italian Navy helicopter of migrants (Africans & Syrians) crammed like sardines into a small boat trying to make it into Europe for a better life.
 
Oh my God ! wewe hutaki, basi wenzio wameamua, Tena wameamua kwa kutoa $ walizonazo !!! Een Mungu tupe AMANI, AMANI AMANii kabla ya kutugea chakula !! ( maana we can wait for food up to a month , lakini amani ? )
 
:A S confused::A S confused::A S confused::A S confused::A S confused::A S confused::A S confused::A S confused::A S confused::A S confused:
 
No better life in Europe anyway!!!!! Im only thinking loudly
 
Kwa idadi hapo wengi WaEthiopia na WaEritrea
 
Ukiambiwa haka ka Amani tuliko nako watu wanakabeza na kuona si mali kitu.
 
Photoshop!! Kwanza hiyo engine ya hiyo boti iko wapi hapo!!?
 
Photoshop!! Kwanza hiyo engine ya hiyo boti iko wapi hapo!!?
mkuu nadhani kwa vile amesema picha imepigwa toka angani ndo maana sehemu zote za boti hazionekani
 
Jamani kuna watu wanashida anaona ajaribu kubadili maisha litakalo tokea na litokee, na pengine usalama wa nchi wanazotoka zina vita:crying::crying::crying:
 
Back
Top Bottom