[h=5]
[/h]jamaa1 alialikwa kwenye harusi ukumbini.akapiga pamba na kuelekea ukumbini.wakati wa vinyaji jamaa kakosa,akapotezea.ukafika pia mda wa chakula akakosa tena mala wakapitisha stick jamaa akawa wa kwanza kupewa.! je ungekuwa ww ungechukua hatua gani?!!!!!@