Ni_PM maana hapa nikianza kuelezea itakuwa ni Process ndefu au kama kuna mtu ana_link anaweza akaiweka.
habari zenu wakuu mi nina tatizo la jinsi ya kufanya setting ktk hizi simu za nokia asha kwa ajili ya kupata internet
nimejaribu kufanya njia zote lakini nimechemka jamani majirani aliokuwa nayo nokia 306 naomba nisaidie jinsi ya kufanya setting ili nitumie internet
natanguliza shukran
kwa hiyo mkuu unamshauri atumie ashura badala ya asha au?Majina nayo yanamata saa nyingine,
Hivi ilikuwaje iitwe jina hilo?
kwa hiyo mkuu unamshauri atumie ashura badala ya asha au?
Majina nayo yanamata saa nyingine,
Hivi ilikuwaje iitwe jina hilo?
Nitakushitaki wewe kwa kuvunja mbavu zangu. Tengua Kauli!Aisha poa, huwa wanakuwa wako poa!