Jamani nna swali nijibuni..

raha ni raha kupendwa na kupenda kunategemea na mazigira lakini yote ni maudhi sana maana ikitokea mmoja kapenda sana lakini mwingine hapendi ndipo utaoja machungu
 
hlo kweli janja maana hisia za m2 yeyote hazchezewi na ogopa sana kucheza na hisia
 
kweli inategemeana na m2 na hisia ulizonazo kwake maana kunawengne hata ukisikia sauti yake ama akikucall 2 bax jamaa anacmama so m nasema n hali 2 ya m2 kwa mwenza wake
 
Back
Top Bottom