Jamani nishaurini, DC kanichunuku!

Jamani nishaurini, DC kanichunuku!

Amicus Curiae

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2012
Posts
5,352
Reaction score
7,662
Habari zenu humu ndani...Na pia samahanini kwasababu hii stori ni ndefu kidogo

One week ago wkt natoka safari na gari yangu ndogo majira ya sa kumi na mbili jioni, kwa mbele nikaona Mark X nyeusi imesimama halafu kuna mademu 2 wakali wamesimama nje huku gari imewasha hazard, wakanisimamisha kwa juhudi sana nikaogopa kusimama nikihofia uhalifu, nilivowapita na kufika mbele kdg, kuna roho ikaniambia nirudi, kweli nikarudi mpk pale walipo nikashuka, maongezi yakawa hivi, habari yako kaka, nikawajibu salama, ikabidi niwaulize wamekutwa na swaibu gani, wakaniambia wamepata pancha, spare tyre wanayo ila hawajui jinsi ya kubadilisha!

Kidume bila kudelay nikawaambia wafungue buti nikatoa triangle (reflector) nikaziegesha barabarani ili kuepusha ajali coz mahali penyewe ni pabaya, nikatoa jeki yangu na wheel spanner nikawabadilishia tairi fasta, yule dem mmoja akanipa businness card yake ila kwasababu kagiza kalikua kameanza kuingia wala sikuhangaika kuiangalia, akatoa pochi akataka anipe hela nikakataa, wakaniomba tuongozane, nikawatanguliza mbele mimi nyuma, tukaachana sehemu moja hivi njia panda kila mtu akaendelea na safari yake.

Nlivofika gheto kuichek hivi nakuta yule dem ni DC wa wilaya "X", nikampigia na kujitambulisha akafurahi sana, nikawauliza kama wamefika salam akanijibu ndio, akaanza kuniambia sijui wanaomba radhi kwa kunisumbua coz walisimamisha magari mengi sana pale yakawa hayasimami, akadai hakutumia gari ya Serikali kwasababu walitoka na rafiki yake kwa ajili ya matembezi ya mwisho wa wiki tu kwasababu ni mabest tangu shule na wanafanya kazi pamoja ambapo huyo dem best yake ni DAS wa Wilaya ambayo huyo dem ni mkuu wa Wilaya.

Jana kanipigia tena lkn maongezi yake siyaelewi, kwanza kaniuliza nafanya kazi gn, nikamwambia nafanya kazi ____ (jina kapuni), akaniuliza nimemaliza chuo mwaka gani, nikamwambia mwaka jana, nimesoma course gani, nikamjibu law. Akaniambia anasubiri aupokee Mwenge ukishapita Wilayani kwake anialike coz atakua ametulia, nikamtania naogopa kwenda kwa watu, eti akasema "usjali, mimi naishi peke yangu na dada wa kazi tu", sijaolewa, sina mchumba, khaa! Nikapigwa na butwaa...

Sasa wadau hebu nishaurini, nipige moyo konde nimsaundishe tu au anaweza akawa yuko na wakubwa labda ntajiaribia? I am totally confused...dem mkali kama yule atakosa mapedeshee kweli! kaahidi kuniwekea mafuta ya kwenda na kurudi nitakapokwenda kumsalimia...
 
Acha tamaa kama unaenda nenda kwa kuheshimu wito tu ila mambo mengine potezea act kama gentleman kaka wakubwa wasumbufu kukaa nao kwenye penzi.
 
Acha tamaa kama unaenda nenda kwa kuheshimu wito tu ila mambo mengine potezea act kama gentleman kaka wakubwa wasumbufu kukaa nao kwenye penzi.

"wakubwa wasumbufu kukaa nao kwenye penzi". Maneno ya busara haya!
 
Asije kuwa huyo DC ni mama yake mdogo mwanaasha!
Utang'olewa kucha na meno bila ganzi.
 
Kwa style hii rushwa haitiisha.....
Pccb unashobokea hela ya mafuta

Habari zenu humu ndani...Na pia samahanini kwasababu hii stori ni ndefu kidogo

One week ago wkt natoka safari na gari yangu ndogo majira ya sa kumi na mbili jioni, kwa mbele nikaona Mark X nyeusi imesimama halafu kuna mademu 2 wakali wamesimama nje huku gari imewasha hazard, wakanisimamisha kwa juhudi sana nikaogopa kusimama nikihofia uhalifu, nilivowapita na kufika mbele kdg, kuna roho ikaniambia nirudi, kweli nikarudi mpk pale walipo nikashuka, maongezi yakawa hivi, habari yako kaka, nikawajibu salama, ikabidi niwaulize wamekutwa na swaibu gani, wakaniambia wamepata pancha, spare tyre wanayo ila hawajui jinsi ya kubadilisha!

Kidume bila kudelay nikawaambia wafungue buti nikatoa triangle (reflector) nikaziegesha barabarani ili kuepusha ajali coz mahali penyewe ni pabaya, nikatoa jeki yangu na wheel spanner nikawabadilishia tairi fasta, yule dem mmoja akanipa businness card yake ila kwasababu kagiza kalikua kameanza kuingia wala sikuhangaika kuiangalia, akatoa pochi akataka anipe hela nikakataa, wakaniomba tuongozane, nikawatanguliza mbele mimi nyuma, tukaachana sehemu moja hivi njia panda kila mtu akaendelea na safari yake.

Nlivofika gheto kuichek hivi nakuta yule dem ni DC wa wilaya "X", nikampigia na kujitambulisha akafurahi sana, nikawauliza kama wamefika salam akanijibu ndio, akaanza kuniambia sijui wanaomba radhi kwa kunisumbua coz walisimamisha magari mengi sana pale yakawa hayasimami, akadai hakutumia gari ya Serikali kwasababu walitoka na rafiki yake kwa ajili ya matembezi ya mwisho wa wiki tu kwasababu ni mabest tangu shule na wanafanya kazi pamoja ambapo huyo dem best yake ni RAS wa Wilaya ambayo huyo dem ni mkuu wa Wilaya.

Jana kanipigia tena lkn maongezi yake siyaelewi, kwanza kaniuliza nafanya kazi gn, nikamwambia nipo PCCB, akaniuliza nimemaliza chuo mwaka gani, nikamwambia mwaka jana, nimesoma course gani, nikamjibu law. Akaniambia anasubiri aupokee Mwenge ukishapita Wilayani kwake anialike coz atakua ametulia, nikamtania naogopa kwenda kwa watu, eti akasema "usjali, mimi naishi peke yangu na dada wa kazi tu", sijaolewa, sina mchumba, khaa! Nikapigwa na butwaa...

Sasa wadau hebu nishaurini, nipige moyo konde nimsaundishe tu au anaweza akawa yuko na wakubwa labda ntajiaribia? I am totally confused...dem mkali kama yule atakosa mapedeshee kweli! kaahidi kuniwekea mafuta ya kwenda na kurudi nitakapokwenda kumsalimia...
 
Watu Wa PCCB huwa hawafanyi mambo unayofanya wewe Na hasa kutoa siri hizi na kuomba ushauri kwa jambo lisilo Na kichwa wala miguu. Na ujue ni kosa kisheria kujofanya wewe ni Ofisa wa PCCB na unaweza ukatafutwa Na kukamatwa kama kk hata km unatumia nick name. Nakushauli ufute threat yako!
 
Bahati mbaya kubwa huyo DC pia ni member wa JF na amesoma hii habari. Na amekushushia credit kabisa kwamba wewe ni mwanaume usiyejiamini na huna sifa za kuwa baba watoto wake japo alitamani uwe. Pole yako.
 
Mh mkuu...hivi mwenge si uko mkoa wa Manyara au?kuna mkuu wa wilaya mdada huko?wap manyara kuna mazingira ya watu kutokukusaidia ukiwa na pancha?
 
Live ur life bro...kapige mzigo ila tumia kinga...apo amna aja ya Sound coz it's obvious keshakupenda....
 
posibly atakuwa meber wa jf!
Bahati mbaya kubwa huyo DC pia ni member wa JF na amesoma hii habari. Na amekushushia credit kabisa kwamba wewe ni mwanaume usiyejiamini na huna sifa za kuwa baba watoto wake japo alitamani uwe. Pole yako.
 
Kuwa mkweli kidogo! we mfanyakazi wa PCCB na hadi leo hujui RAS ni nani? usitudanganye na kututungia story za kitoto, embu kaulize tofauti ya RAS na DAS alafu uje urekebishe fix zako.
 
Chakarika lakini usithubutu kurudi tena hapa kuja kumuanika kwamba "nimekula mzigo wa DC" atakumind sana anaweza kukubambikizia kesi halafu ukajuuuuuta kumfahamu.

[video]http://www.youtube.com/watch?feature=endscreen&NR=1&v =9b8erWuBA44[/video]
 
kama story ya kutengeneza vile, huyu DC na DAS yeye hatupii jicho huku jf.

If that is true ukiambiwa umpeleke chooni usije kutuambia tena, inaonekana wewe mwasheria ni wakala mzuri mzuri wa shetani kupitia uzinzi.
 
Back
Top Bottom