Haujaweka details za msingi sana.Analipa?
Watu Wa PCCB huwa hawafanyi mambo unayofanya wewe Na hasa kutoa siri hizi na kuomba ushauri kwa jambo lisilo Na kichwa wala miguu. Na ujue ni kosa kisheria kujofanya wewe ni Ofisa wa PCCB na unaweza ukatafutwa Na kukamatwa kama kk hata km unatumia nick name. Nakushauli ufute threat yako!