jamani nishakosa chuo

Moyibi

JF-Expert Member
May 11, 2012
1,054
710
embu tembelea akaunti yako ya tcu kuna ujumbe mpya.! Bt mimi nimeshangaa sana kukuta hili neno not admitted !! Ooh my God kama kuna yeyote mwenye uwo ujumbe aniambie !! Hapa nilipo nahisi kufa
 
Dah.. pole ze dudu
 
nahc kuchanganyikiwa vp ww mkuu via ANALIA na KUKOJOA

Me nmekuta admitted af kwenye selection ya ud i saw ma name.. apo ni kua faster kuaply tena 2. c unajua kamchezo wanachotaka kukafanya tcu kwnye 2nd round??
 
hata mcofu co kuwa hujachaguliwa mm mwenyewe nlikuta hivo<not admitted>
mara ya kwanza but mara ya pili nlikuta nko admitted so jaribu tena
 
kheri yako mkuu
 
hata mcofu co kuwa hujachaguliwa mm mwenyewe nlikuta hivo<not admitted>
mara ya kwanza but mara ya pili nlikuta nko admitted so jaribu tena

thanks GOD nimeingia tena nimekutana na huu ujumbe ' YOU ARE ADMITTED ' via anapiga mayowe kama kichaa
 
Baada ya kusoma post yako na mm nikaingia nikatanana na 'Not admitte'(kama cjakosea kuandika) nikarudi baada ya dk chache tena nikakuta admitted

vp mkuu ulijisikiaje maana daah !!
 
embu tembelea akaunti yako ya tcu kuna ujumbe mpya.! Bt mimi nimeshangaa sana kukuta hili neno not admitted !! Ooh my God kama kuna yeyote mwenye uwo ujumbe aniambie !! Hapa nilipo nahisi kufa
umerudia mara nying?maan me ya kwngu nlvyofungua iksema nt admitted kufunguafungua ikaniandkia you r admitted
 
mara moja 2 !! Yaani nilikuwa najiandaa kutoka nje nikatafute mala** wa kulala nae may be akili inge settle
 
Karibu nizimie!nikaja Jf kupunguza machungu...Kurudi tena Tcu ni Shangweee..!!!

man nilikuwa nataka nitoke nje nikasake mala** may be akili ingesettle bt kurudi tena nikakuta mambo swafi
 
Aiseee baba yangu msishangilie kwanza mmaweza kuta hampati boom na ada ni m 1 na nusu mkaja tena humu janvini mnalia

ngoja nipate mbege mie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom