Kaundime2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 1,085
- 459
Sasa ndio natambulisha jukwaa rasmi hivyo kuwa nimeibukiwa mwenzenu,Haya hayo yalikuwa mazungumzo kabla ya habari.
Jamani nisaidieni cha kufanya huyu mtu wangu mpaka sasa tunaenda vizuri.Mwezi unaenda wa saba sasa naona mambo mazuri tu sasa tatizo ni hapo kwenye kula chakula.
Jamaa sijui anafanyaje uko mdomoni mana ni fyoko fyoko fyoko hapo ndo anatafuna hivyo alafu kwa sauti sasa
yaani hadi kinyaa! chai sasa ka anavuta zile kamasi za kitoto.
Ndio sipati picha marafiki zangu waje natenga chakula si hadi aibu jamani,sasa naanzaje kumwambia sasa ndio mtihani.
Ushauri jamani please nifanyeje?.Ila matusi sipendi.