Jamani nipeni jina la series latest ya kuangalia kesho

CCA

JF-Expert Member
Apr 25, 2015
396
189
Kuanzia kesho nitakuwa likizo, naomba nisaidieni nidownload series gani ambayo ni latest ili niweze kuicheki.

Asanteni.
 
Angalia shooter ni kali balaa na nahisi kama inaweza fuata mkondo wa American odssey
 
Queens of the South in nzuri sana inahusu mama mmoja Kuwa kiongozi wa genge la Wauza Madawa ya kulevya
 
Mazee nanunua walking dead episode zote zilizotoka kuanzia mwezi wa kumi last yr kila episode buku nimetafuta kkoo mpk miguu imeota sugu
 
Mkuu cheki Designated Survivor. Humo ndani yupo Jack Bauer na Nikita. Hutajuta. Mpaka sasa zimetoka episodes 10, ya 11 ni mpaka march 8
 
Queens of the South in nzuri sana inahusu mama mmoja Kuwa kiongozi wa genge la Wauza Madawa ya kulevya
Hii ni nzuri sana, sema Season 2 hawajatoa so ukiangalia unabaki na hasira tu tena maana wanakukatisha uhondo.
 
Back
Top Bottom