Mwanamke huyu ninaishi naye kwa takribani miaka 6 sasa tuna watoto 2, lakini cha kushangaza ni tabia yake ya ukorofi na kutokupenda watu yaani ni mkorofi kwangu, kwa ndugu zake na hata watoto pia, anatabia ya kuchukia watu sana, tumekaa vikao vingi hakini cjui ndivyo alivyo yaani hata majirani cna hapa, kwakweli ni changamoto kwangu naombeni ushauri zaidi na kwa mwenye namba za wanasaikolojia anisaidie.
Aksanteni

Vipi performance yako kitandani inaridhisha...kama lah basi anza na hilo kwanza hakikisha unamshughulikia kisawasawa mi ninakuhakikishia hutasikia rabsha tena...
Pili, jaribu kutafuta ndugu yako wa kike ambaye unaamini ukoo mzima wanamgwaya kwa ukorofi then mlete hapo kwako kwa jukumu moja tu la kuhakikisha anamchamba huyo mkewo hadi ajione si kitu...
i was thinking the same hapo. otherwise ampe likizo ya muda, mama mwenyewe atajirudi. hii imekaa ki-udaku vile, wamchambue kama karanga lolVipi performance yako kitandani inaridhisha...kama lah basi anza na hilo kwanza hakikisha unamshughulikia kisawasawa mi ninakuhakikishia hutasikia rabsha tena...
Pili, jaribu kutafuta ndugu yako wa kike ambaye unaamini ukoo mzima wanamgwaya kwa ukorofi then mlete hapo kwako kwa jukumu moja tu la kuhakikisha anamchamba huyo mkewo hadi ajione si kitu...
Mwanamke huyu ninaishi naye kwa takribani miaka 6 sasa tuna watoto 2, lakini cha kushangaza ni tabia yake ya ukorofi na kutokupenda watu yaani ni mkorofi kwangu, kwa ndugu zake na hata watoto pia, anatabia ya kuchukia watu sana, tumekaa vikao vingi hakini cjui ndivyo alivyo yaani hata majirani cna hapa, kwakweli ni changamoto kwangu naombeni ushauri zaidi na kwa mwenye namba za wanasaikolojia anisaidie.
Aksanteni
sema nae
jaribu na upande wa pili mkuu(maombezi) si unajua tabia nyingine ni za kipepo pepo usikute wajanja washamtupia mananiliu........