kijana mkimya
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 277
- 121
Kwa miaka hakuna mtu mwenye nuksi,hawa dada zetu wanataka pesa na wazazi wao!ukigawa hela mkuu Hadi utawakataa,hata ukiwa unakula ugoro wanakula denda na wewe hata harufu haisikii chezea hela wewe!!!!shikamoo hela
mkuu mara nne nimetoa mahari yote lakini siku ya harusi wanakimbia. ingekuwa suala la pesa si wangekataa toka mwanzo?
Unajipenda,mtanashati,unaenda na wakati na fashion au umekaa kizee,una swagg kweli wewe,unajua kuongea kupanga maneno matamu halafu sio unamtongoza unahisi kakubari tupa ndoano Kwa wengi sio mmoja ukishindwa vyote mwaga pesa tumia helaaaaaa jombaaa uwaone
kazana na maombi.. utapata hitaji lako
hii hali inanihuzunisha sana. mwaka wa tatu sasa nataka kuoa lakini inashindikana. kama sijapata kikwazo toka kwa wazai basi nitapata kwa binti. mara nne nilikuwa nimemaliza process zote za kufanya harusi lakini siku ya harusi mabinti wanakuwa wanakimbia, harusi inaahirishwa na hapo ndo unakuwa mwisho. mara nyingine wazazi wa binti wanakuwa hawakupendezwa na mimi. mara nyingine wazazi wanakubali ila binti anakuwa hanipendi. sasa wakuu sasa nimetokea kumpenda mdogo wa rafiki yangu, nimemueleza hisia zangu lakini hajanijibu chochote yapata wiki sasa. inafikia kipindi nakata tamaa nahisi ni yaleyale ya kukataliwa. mi ni kijana wa dini ninamaisha yangu japo sio tajiri lakini nina maisha ambayo watu wengi wanayatamani. wakuu nifanye nini? sasa nimepoteza Imani kabisa.
Mbali na mahari ulishawahi kumpa mama mkwe hata laki mbili ya mboga,na huyo shemu wetu ulishawahi kumpa laki tano ya kwenda kununulia nguo na saluni?hebu fanya hivyo
Dedication ya wimbo:Njoo ufanyiwe maombi by Bon Mwaitege inakuhusu kwa hali yako.
Shetani hapendi furaha yako, kutatua shida yako nenda maombezi kama hutaenda basi anza kujiombea mwenyewe.
Pole sana, try God..i believe he will ans ur prayers
Aisee duh we unashidaaa aisee.mkuu I do all prayers but nothing happening. i'm tired now!
naona watu wananishauri aombi tu. shukran kwa ushauri wenu. jamani nimefanya sana maombi. nimekata tamaaa!