Asante Kwa somo mkuu,
Hzo dalili zilianza kwang, nlkuwa mbion kuazima dollar 200 ili nilipe na niupate mzigo, wamenikosaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna jirani yangu namuona anakaribia kutapeliwa na watu wa design hiyo lakini mwenyewe anafanya siri.
Mzungu!!! wakati ni huyo huyo jamaa anaongea kingreza kibovu.!
Kwa hiyo ulivyopata dili hilo la hela ukakaa kimya huku mwambia mtu ili utajirike peke yako sio!
Wewe ni zumbukuku, tulia uliwe 0716Kuna mzungu tapeli anayejita Gambler Erik number zake za simu +41779140475 tulikuwa marafiki kwenye mtandao wa LinkedIn kama marafiki wa kawaida akaonyesha kuja kuwekeza Tanzania.... Akasema kabla ya kuja Tanzania atanitumia machine zake za kutengeneza lotion na cream kwangu sikumbili kabla ya yeye mwenyewe kuja Tanzania. Na kwenye hiyo mizigo kaweka dola za kulipia pango la nyumba na maswala mengine
Akanijulisha wiki iliyopita atatuma mizigo kwenye ndege za UN na mara moja mzigo utanifikia kwangu kwa kupitia wakala.
Nilichoshangaa jumatatu ya wiki hii Kuna mwanamama kanipigia kwa number 0758392082 jina inasoma Emmanuel Tesha... At Mimi nilipe Kodi ya hizo bidhaa zilizokuja Tanzania kwa jina langu. Nikamwuuliza huyo Tapeli Gambler hivi Ni sahihi akaniambia wewe lipa nitakurudishia. Kumbe ndio nimeanza kuliwa kekundu hapo.
Hiyo ilikuwa Ni Kasulu Kigoma nikashangaa kwa Nini mzigo utuwe Kasulu na siyo DSM? Baada ya kulipa $ hiyo number haipatikani hewani. Nikajiuliza Toka jumatatu mpaka Alhamisi hakuna dalili yoyote ya kupokea mzigo ilikhali huyo mama Tapeli ananiaminia kwamba huo mzigo upo na utanifikia kwangu bila tatizo. Jana kaibuka Tapeli mwingine mwenye number 0758727527 jina la usajili Swaum Mena.
Akaniambia kiswahili kwamba mzigo umekwama Arusha ati nilipe $500 ili mzigo unifikie... Leo saa sita mchana.... Hapo ndio nikashtuka na kujuwa Kuna utapeli na hiyo pesa sijaituma. Na nikamtumia msg huyo mama kwamba Ni Tapeli anirudishie pesa zangu
Nimetuma ujumbe huu na hizo number za simu ili wengine yasiwapate kama Mimi yalivyonisibu
Nawatakia Ijumaa khereem
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tema mate chinihawa matapeli wanapenda sana jamaa ambao ni mandezi, wajanja wajanja kama mie hawawezi kujaribu hapa! pambafff! acha mliwe labda mtatia akili siku moja!
Tamaa mbele mauti nyumaSiku za karibuni wadada wengi wa kibongo wamepigwa na matapeli wanaoshirikiana na wazungu au wanaigiza wazungu.
Wanaanzisha urafiki kwenye mitandao kisha whatsapp unamuona kabisa.
Mdada anaongopewa kapendwa na mzungu anataka amuoe.
Anamwambia kamtumia zawadi kama mleta mada, kisha anaambiwa mzigo upo Zanzibar au mbali na mji wa mtapeliwa, anaambiwa alipie pesa za kuondoa mzigo na kodi kisha aende akachukue mzigo.
Wadada kwa tamaa wanawaonesha wenzao wamepata mchumba mzungu na picha za zawadi.
Pesa ya kulipia mzigo wanakopa madeni makubwa na kuuza vitu. Mwisho aibu kubwa huko ugenini Zanzibar wanapojikuta wamepigwa, hawana nauli ya kurudia wala mahali pa kuishi.
Jamaa yangu kawasaidia wadada watatu siku kama 7 zilizopita.
Pole Sana mkuuMimi sipo kihivyo km unavyofikiri, ni mwuungwana na mstaarabu na nisingeweza kufungua kiwanda mwenyewe,,,,
Siku nyingine utatumwa mzigo wenyewe madawa ya kulevya, na ukishalupia tu ndio unakamatwa Kama ndio muagizaji wa huyo madawa! Hebu amkeni ktk ujinga huo...hakuna free lunch siku hizi atii!Kuna mzungu tapeli anayejita Gambler Erik number zake za simu +41779140475 tulikuwa marafiki kwenye mtandao wa LinkedIn kama marafiki wa kawaida akaonyesha kuja kuwekeza Tanzania.... Akasema kabla ya kuja Tanzania atanitumia machine zake za kutengeneza lotion na cream kwangu sikumbili kabla ya yeye mwenyewe kuja Tanzania. Na kwenye hiyo mizigo kaweka dola za kulipia pango la nyumba na maswala mengine
Akanijulisha wiki iliyopita atatuma mizigo kwenye ndege za UN na mara moja mzigo utanifikia kwangu kwa kupitia wakala.
Nilichoshangaa jumatatu ya wiki hii Kuna mwanamama kanipigia kwa number 0758392082 jina inasoma Emmanuel Tesha... At Mimi nilipe Kodi ya hizo bidhaa zilizokuja Tanzania kwa jina langu. Nikamwuuliza huyo Tapeli Gambler hivi Ni sahihi akaniambia wewe lipa nitakurudishia. Kumbe ndio nimeanza kuliwa kekundu hapo.
Hiyo ilikuwa Ni Kasulu Kigoma nikashangaa kwa Nini mzigo utuwe Kasulu na siyo DSM? Baada ya kulipa $ hiyo number haipatikani hewani. Nikajiuliza Toka jumatatu mpaka Alhamisi hakuna dalili yoyote ya kupokea mzigo ilikhali huyo mama Tapeli ananiaminia kwamba huo mzigo upo na utanifikia kwangu bila tatizo. Jana kaibuka Tapeli mwingine mwenye number 0758727527 jina la usajili Swaum Mena.
Akaniambia kiswahili kwamba mzigo umekwama Arusha ati nilipe $500 ili mzigo unifikie... Leo saa sita mchana.... Hapo ndio nikashtuka na kujuwa Kuna utapeli na hiyo pesa sijaituma. Na nikamtumia msg huyo mama kwamba Ni Tapeli anirudishie pesa zangu
Nimetuma ujumbe huu na hizo number za simu ili wengine yasiwapate kama Mimi yalivyonisibu
Nawatakia Ijumaa khereem
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaa ulimkomeshahawa matapeli washenzi sana ila kwa mjanja lazima utashtuka tu, mi huwa sikatai dili ile wakianza kuleta zile pigo zao za kutaka hela sijui tuma kwenye namba hii ndipo napowaumbua kuna mmoja alijichanganya akataka kuniibia ki-style eti kanipanga kuhusu mzigo unaokuja tupige hela nzuri ulipofika akadai kapata dharura hivyo hela imepungua ila atanirudishia akatuma kama laki 2 nami niongezee laki 3 afu nitume kwenye namba fulani ya mtuma mizigo,
usipokuwa makini unaweza sema ni kweli, nikasema potelea pote nikatoa dakika hiyo hiyo na nikakausha jamaa haijapita hata dakika 2 alivyoona kimya akajaribu kurudisha kwa mtandao wakakuta akaunti empty, nikapigiwa hadi na watu wa simu wakasema kuna mteja katuma hela kimakosa na umeitoa fanya urudishe vinginevyo hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yako.
nikawajuza huyo ni tapeli tu, nimeshazungumza nae vya kutosha hakuna cha wrong number wala nini alikuwa ananiaminisha ili anipige, nikasema fanyeni mnachotaka location yangu mnaijua nipelekeni polisi halafu mdai aje kudai haki yake huku nikijua fika mazungumzo yetu nimerekodi,na screenshot nimepiga....
hasara niliyopata Akaunti ya hiyo simu pesa nilifungiwa na ukituma hata 100 inazuiwa...ila yule boya hajajitokeza mpaka leo