Asante kwa taarifa itayookoa wengine kuchapiwa kwa staili hii. Ndio faida ya Jamiiforums hii.
Kwa taarifa tu ni kwamba huyo mzungubalikuwa ni mbongo wa hapa hapa, naona hii staili inakuja kwa kazi kuna Mdada flani alikuwa anatumiwa video za saa za dhahabu na tapeli aliehifanya ni tajiri yupo nje, basi yule tapeli akamwambia anamtumia saa ile kwasababu wamekuwa marafiki siku ya siku Dada anapokea simu anaambiwa atume laki 3 mzigo upo airport dar huwezi kuingia bila kulipia, Dada yule ana bahati tulimfumbua kuwa jamaa ni tapeli