Jamani nimetapeliwa nichukue hatua gani?

Jamani nimetapeliwa nichukue hatua gani?

Ni rafiki yako hujui njia zake?
Kumbuka mazungumzo yenu b4 then unganisha matukio utampata tuu.
Habari za polisi achana nazo
 
Nenda kwa mganga wa kienyeji!

Anyway

1. Karipoti polisi juu ya upotevu, wizi na mwizi mwenyewe. Hii itakusaidia wewe pale ambapo kompyuta yako itakapotumika kutenda uhalifu itajulikana kuwa wewe hauhusiki. Pia utapata RP ya polisi.

2. Mtafute jamaa bila jasho mdogomdogo utampata tu na jinai haiexpai ukimnasa tu, polisi. Atatema kila kitu na gharama juu.

3. Kama ana kwake au unajua kuwa ana mali yoyote popote kachukue mali yoyote yenye thamani sawa au pungufu ya thamani ya mali alizotokomea nazo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu,
Umekurupuka au kupotoka.
Kuriport police ni sawa lakini sio kwenda kuchukuwa Mali sababu kabla ya kufanya hivyo Luna maandishi yoyote juu ya kuazimana computer na pesa? Uwepo ushahidi huo ndio afanye hivyo unavyomshauri besides that he will be commuting a crime.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom