Mtaje...halafu unamtapelije mwenzio sh laki 3...mbona hela ndg hiyo kwann ujishushie hadhi...mm mtu akinitapeli huwa simfatiliii ndo kwanza Mungu huwa anaongeza kapu langu
Ndiyo wewe nini???Mtaje...halafu unamtapelije mwenzio sh laki 3...mbona hela ndg hiyo kwann ujishushie hadhi...mm mtu akinitapeli huwa simfatiliii ndo kwanza Mungu huwa anaongeza kapu langu
Huyo atakua kitomari2... hata mimi kanitapeli lak 5 ya bata mzinga..kila siku usafiri hakuna nikamtuma mpaka mdogo wangu aarusha achukue hao bata mzinga kamkwepa na mpaka sasa hapokei simu.Nimesharipoti polisi na RB ninayo
Jamani nilipitiwa tu na majukumu.
Huyo atakua kitomari2..hata mimi kanitapeli lak 5 ya bata mzinga..kila siku usafiri hakuna nikamtuma mpaka mdogo wangu aarusha achukue hao bata mzinga kamkwepa na mpaka sasa hapokei simu.Nimesharipoti polisi na RB ninayo