Jamani nimetapeliwa na mjasiriamali ambaye ni member wa huku

Dawa ya hao wezi ni ndogo ebu ni inbox namba yake tu then subiria kukuletea mwizi mkononi.
 
Miezi mitatu tu tayari umekuja kumtangaza hapa je ingekwa miezi sita si ungefika hadi aljazeera?

Kweli kufanya biashara na masikini yataka moyo!

Haya mtaji hapa huyo mtu wako

Soma sheria za jf juu ya ufanyaji biashara ya hspa,

Swali: Je uliwahusha mods kabla ya kuanza hiyo biashara?

khaaa uwezo wako wa kufikiria unafikia ukomo. ni us.hu.z tu umeandika hapa
 
Miezi mitatu tu tayari umekuja kumtangaza hapa je ingekwa miezi sita si ungefika hadi aljazeera?

Kweli kufanya biashara na masikini yataka moyo!

Haya mtaji hapa huyo mtu wako

Soma sheria za jf juu ya ufanyaji biashara ya hspa,

Swali: Je uliwahusha mods kabla ya kuanza hiyo biashara?

Acha dharau we Pimbi
 
Acha dharau we Pimbi

Ndugu yangu usingepoteza hata nukta ya muda wako kumjibu mtu kama yule.

Kuna wakati uwezo wake wa kufikiri unafifia kama mshumaa vile.

Anashindwa kabisa kutambua maadili ya biashara kuwa mkishakubaliana lazima utimize kwenye muda muafaka sababu ahadi ni deni.
 
Dawa ya hao wezi ni ndogo ebu ni inbox namba yake tu then subiria kukuletea mwizi mkononi.

Kama ni huyu Kitomari wa bata mzinga,mara nini sijui, atakuwa ametuabisha wote hapa jamvini. Inakera sana. Yaani sasa Bongo ni kuchakachua kila kitu.

Tukiambiwa Wa-tz tunaiba hadi vijiko ktk mahotel ya kitalii tunalalama.
 
Bado siamini kilichotokea. Huyu jamaa nilishawahi kufanya naye biashara kama mwaka umepita. Kama miezi mitatu imepita alikuja kaka yangu akaona ile mifugo niliyoagiza kwa huyu jamaa akatamani naye aifuge hivyo akaniomba nimwagizie halafu nimtumie maana yeye anaishi Lindi

Nikaongea na huyu mjasiriamali akanihakikishia mzigo anao ndipo tukakubaliana nimtumie pesa kama laki 3 hivi ili autume. Baada ya kutuma hela jamaa akaanza sababu mara amekosa basi na hatimaye anauguza hadi leo nikimpigia simu hapokei wala hajibu SMS zangu.

Namtahadharisha kuwa dhuluma siyo nzuri kwenye maisha na atambue kuwa yatakuja kumtokea pabaya maana ameweza kunifanyia hivi mimi ambaye sitaweza kumfanya kitu ila atakuja kumfanyia mtu ambaye anapenda revenge. Mimi naamini zaidi kwenye KARMA

Asanteni

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Pole Gayo,
Asante kwa kuniokoa,ilikuwa niagize hao bata week chache zijazo. Weka na simu yake hapa tumpe sms za moja kwa moja,hata kama atakuwa anasoma kwa id nyingine.
 
Miezi mitatu tu tayari umekuja kumtangaza hapa je ingekwa miezi sita si ungefika hadi aljazeera?

Kweli kufanya biashara na masikini yataka moyo!

Haya mtaji hapa huyo mtu wako

Soma sheria za jf juu ya ufanyaji biashara ya hspa,

Swali: Je uliwahusha mods kabla ya kuanza hiyo biashara?

we nae sijui umetokea zizi gani?kwani hiyo laki tatu aliiokota?
Et kufanya biashara na maskini...listen to ur poorself!
Unaleta dharau wakati hiyo laki tatu unaitamani!
 
Wewe sio mzima wewe
 
we nae sijui umetokea zizi gani?kwani hiyo laki tatu aliiokota?
Et kufanya biashara na maskini...listen to ur poorself!
Unaleta dharau wakati hiyo laki tatu unaitamani!

Uwezo wake wa kufikiri unaishia kwenye kumfanyia Zitto Ujasusi mshenzi tu
 
Kama ni huyu Kitomari wa bata mzinga,mara nini sijui, atakuwa ametuabisha wote hapa jamvini. Inakera sana. Yaani sasa Bongo ni kuchakachua kila kitu.

Tukiambiwa Wa-tz tunaiba hadi vijiko ktk mahotel ya kitalii tunalalama.

He was among the prominent figures kwenye hili jukwaa letu atafanya sasa na wengine kama wewe,Chasha,Mgombezi n.k muogopwe hata kwenye dili za ukweli na muhimu
 
Ni kweli Mimi pia hakunitumia.mpaka sasa hapokei simu yangu Mimi nilimpa hiyo hela mwaka Jana amekuwa akinipa kiswahil cha kila namna. Yangu ni laki na nusu.
 
Bado siamini kilichotokea. Huyu jamaa nilishawahi kufanya naye biashara kama mwaka umepita. Kama miezi mitatu imepita alikuja kaka yangu akaona ile mifugo niliyoagiza kwa huyu jamaa akatamani naye aifuge hivyo akaniomba nimwagizie halafu nimtumie maana yeye anaishi Lindi

Nikaongea na huyu mjasiriamali akanihakikishia mzigo anao ndipo tukakubaliana nimtumie pesa kama laki 3 hivi ili autume. Baada ya kutuma hela jamaa akaanza sababu mara amekosa basi na hatimaye anauguza hadi leo nikimpigia simu hapokei wala hajibu SMS zangu.

Namtahadharisha kuwa dhuluma siyo nzuri kwenye maisha na atambue kuwa yatakuja kumtokea pabaya maana ameweza kunifanyia hivi mimi ambaye sitaweza kumfanya kitu ila atakuja kumfanyia mtu ambaye anapenda revenge. Mimi naamini zaidi kwenye KARMA

Asanteni

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

chadema hao!
 
Huyo jamaa kajichafua sana cha muhimu
na msingi bora awape hao jamaa pesa zao
Kuna kasi sehemu jamaa aliwahi kuwakopa

Watu saba bila wao wenyewe kujuana lakini
alipokuwa anahama sehemu anayoishi
siri zote zikavuja kuwa jamaa taperi mno.

Hapa jamvini naona watu wanaanza kujitokeza
taratibu kuhusu hujuma zilizofanywa na member huyo.
 
Miezi mitatu tu tayari umekuja kumtangaza hapa je ingekwa miezi sita si ungefika hadi aljazeera?

Kweli kufanya biashara na masikini yataka moyo!

Haya mtaji hapa huyo mtu wako

Soma sheria za jf juu ya ufanyaji biashara ya hspa,

Swali: Je uliwahusha mods kabla ya kuanza hiyo biashara?

Wewe vp ww yaan miez 3 unaiona midogo katika biashara?kwan makubaliano siilikua atume hela apewe mzigo.acha dharau ww?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom