Jamani nimebahatika kupata mil 30, nianzishe mradi gani utakaonitoa mazima?

In
Inawezekana. Inategemea lakini Ni vyumba vingapi unajenga na material ya aina ipi unatumia.
Ni kweli kwani nyumba za kupangisha kwa watu wa kawaida zinahitaji mbwembwe sana. Vifaa vya ujenzi ni hivi vya kisasa vya kawaida ambavyo ukienda viwandani unapata kwa bei za jumla kabisa na hivyo kuokoa fedha badala ya kununua kwa walanguzi madukani. Na siku hizi za ushindani yote yanawezekana.
 
Post kama hii yako ziko nyingi sana. Jaribu kusoma humu, kama kuzitafuta humu tu unaona uvivu basi kufanya biashara itakuwa ngumu zaidi
Wadau kuna kampuni imenilipa fidia ya sh mil 30. Kulitokea nini na ilikuwaje mpk nikalipwa fidia hii? Nisingependa kuiongelea.

Ombi langu kwenu ni kwamba naombeni ushauri na uzoefu wenu wa kuiendeleza fedha hii ili nisije rudi tena kwenye umaskini wa kukosa milo 2 kwa siku.

Naomba kuwasilisha.

ANGALIZO: Tusileke mizaha na utani tafadhali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kijana zama kijijini karibu na Dar, Mkulanga au njia ya Kilwa eg Ikwilili.
Kamata ten eka's, jenga mabanda, fuga kuku kienyeji, fuga nguruwe, panda mapapai, michungwa,mihogo, miparachichi.
Tumia utaalamu, Chimba maji weka pampu kunywesha mazao.
Lima mbogamboga, matunda mapassion matikiti maji.
Usiogope wewe kijana jitume kusimamia.
Soko lako ni Dar, mengine yatafuata, utakuwa bilionea!!
 
😅😅😅! Kwamba alime papai na tikiti😅!kwamba alime mboga mboga atakuwa le bilionea😅
 
Manengelo na wenzako wengi humu JF inaonekana hamkiamini kilimo kabIsa kama kinaweza kuwatoa Watanzania na nchi kwa ujumla kwenye umaskini! Kwa nini hivi jamani? Juzi nilimsikia Profesa mmoja akisema aningia kwenye biashara ya kilimo, kikamilifu, totally. Sijui sisi Watanzania wa leo NANI KATUROGA? Nadhani hii kasumba waliipandikiza wakoloni, hasa baada ya kutimuliwa kwenye nchi zetu, wakaona njia ya kutufanya tuzidi kuwa maskini ni kutupandikizia mawazo ya kudharau kilimo. Jiulize, mbona walipokuwa wakizitawala nchi zetu walituhimiza tulime au walilima wao wenyewe (their settlers) kwa ajili ya viwanda vyao na ndio ukawa mwanzo wa utajiri wao!? Kwa nini tunasahua mapema namna hii? Au ni kwa sababu ya hiyo kasumba ya kisomi na vita waliyoanzisha ya kubana masoko yao na kuzuia bidhaa zetu kwenda huko hata kama ni "dhalili" as per their standards. Tuache ushamba wa kudharau kilimo wana JF!
 
So far kilimo kimekufanya uwe tajiri kwa kiasi gani boss?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom