Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,012
- 95,358
Kuna watu hawajui kutofautisha nyumba na bandaHata mimi ndio nashangaa!!au mabanda??
Kuna watu hawajui kutofautisha nyumba na bandaHata mimi ndio nashangaa!!au mabanda??
Inawezekana. Inategemea lakini Ni vyumba vingapi unajenga na material ya aina ipi unatumia.Yes, kama una viwanja na ukitumia "force account" INAWEZEKANA KABISA hasa hasa kama uko Dar-es-Salaam!
Ni kweli kwani nyumba za kupangisha kwa watu wa kawaida zinahitaji mbwembwe sana. Vifaa vya ujenzi ni hivi vya kisasa vya kawaida ambavyo ukienda viwandani unapata kwa bei za jumla kabisa na hivyo kuokoa fedha badala ya kununua kwa walanguzi madukani. Na siku hizi za ushindani yote yanawezekana.In
Inawezekana. Inategemea lakini Ni vyumba vingapi unajenga na material ya aina ipi unatumia.
Hahahaha force account ..wazee wa manunuzi tunaelewa hiiYes, kama una viwanja na ukitumia "force account" INAWEZEKANA KABISA hasa hasa kama uko Dar-es-Salaam!
Hahah na mimi dalali wa mazao namsubiri sokoni nimnyooshe.Ww unananga sana wanachuo unasemaga mapori tz yapo ya kutosha tu...bas na mm nasema mapori tz meeeengi sana nenda kalime!
Wadau kuna kampuni imenilipa fidia ya sh mil 30. Kulitokea nini na ilikuwaje mpk nikalipwa fidia hii? Nisingependa kuiongelea.
Ombi langu kwenu ni kwamba naombeni ushauri na uzoefu wenu wa kuiendeleza fedha hii ili nisije rudi tena kwenye umaskini wa kukosa milo 2 kwa siku.
Naomba kuwasilisha.
ANGALIZO: Tusileke mizaha na utani tafadhali.
Kijana zama kijijini karibu na Dar, Mkulanga au njia ya Kilwa eg Ikwilili.
Kamata ten eka's, jenga mabanda, fuga kuku kienyeji, fuga nguruwe, panda mapapai, michungwa,mihogo, miparachichi.
Tumia utaalamu, Chimba maji weka pampu kunywesha mazao.
Lima mbogamboga, matunda mapassion matikiti maji.
Usiogope wewe kijana jitume kusimamia.
Soko lako ni Dar, mengine yatafuata, utakuwa bilionea!!
Manengelo na wenzako wengi humu JF inaonekana hamkiamini kilimo kabIsa kama kinaweza kuwatoa Watanzania na nchi kwa ujumla kwenye umaskini! Kwa nini hivi jamani? Juzi nilimsikia Profesa mmoja akisema aningia kwenye biashara ya kilimo, kikamilifu, totally. Sijui sisi Watanzania wa leo NANI KATUROGA? Nadhani hii kasumba waliipandikiza wakoloni, hasa baada ya kutimuliwa kwenye nchi zetu, wakaona njia ya kutufanya tuzidi kuwa maskini ni kutupandikizia mawazo ya kudharau kilimo. Jiulize, mbona walipokuwa wakizitawala nchi zetu walituhimiza tulime au walilima wao wenyewe (their settlers) kwa ajili ya viwanda vyao na ndio ukawa mwanzo wa utajiri wao!? Kwa nini tunasahua mapema namna hii? Au ni kwa sababu ya hiyo kasumba ya kisomi na vita waliyoanzisha ya kubana masoko yao na kuzuia bidhaa zetu kwenda huko hata kama ni "dhalili" as per their standards. Tuache ushamba wa kudharau kilimo wana JF!😅😅😅! Kwamba alime papai na tikiti😅!kwamba alime mboga mboga atakuwa le bilionea😅
So far kilimo kimekufanya uwe tajiri kwa kiasi gani boss?Manengelo na wenzako wengi humu JF inaonekana hamkiamini kilimo kabIsa kama kinaweza kuwatoa Watanzania na nchi kwa ujumla kwenye umaskini! Kwa nini hivi jamani? Juzi nilimsikia Profesa mmoja akisema aningia kwenye biashara ya kilimo, kikamilifu, totally. Sijui sisi Watanzania wa leo NANI KATUROGA? Nadhani hii kasumba waliipandikiza wakoloni, hasa baada ya kutimuliwa kwenye nchi zetu, wakaona njia ya kutufanya tuzidi kuwa maskini ni kutupandikizia mawazo ya kudharau kilimo. Jiulize, mbona walipokuwa wakizitawala nchi zetu walituhimiza tulime au walilima wao wenyewe (their settlers) kwa ajili ya viwanda vyao na ndio ukawa mwanzo wa utajiri wao!? Kwa nini tunasahua mapema namna hii? Au ni kwa sababu ya hiyo kasumba ya kisomi na vita waliyoanzisha ya kubana masoko yao na kuzuia bidhaa zetu kwenda huko hata kama ni "dhalili" as per their standards. Tuache ushamba wa kudharau kilimo wana JF!
Labda u-bilionea kama wa LE-MUTUZ! Kwamba alime papai na tikiti!kwamba alime mboga mboga atakuwa le bilionea
Nenda kawaulize matajiri wa USA na IRINGA ndiyo utajua kilimo kinalipa!
Twende na hoja mng'ato!
Imo kwenye Sheria ya Manunuzi Ollachuga Oc!
Nataka experience yako mzee baba achana na story za wamarekani na za motivational speakers.Nenda kawaulize matajiri wa USA na IRINGA ndiyo utajua kilimo kinalipa!